Wewe nadhani sio scientist, what the cow does is a natural phenomenon controlled by genetics! And that is its nature it can not do otherwise! Nadhani wewe ni wa kadhi, just imagine kushika mavi mnapomaliza kunya! Ni akili ya mwanadamu au ya wenzetu nyinyi! Kwa hiyo na wewe ni akili ya ng'ombe kushika mavi!
Soma tena nililoandika ndugu yangu Chuaka. Pengine wewe ni mkatoliki zaidi ya papa ama ni mlutheri zaidi ya malasusa n.k. nilisema hivi Mkristo akifuata mafundisho ya Kristo mwenyewe ambaye hakuwahi kuwa mkristo hatokuwa na haja ya kudai mahakama yoyote ile kwa sababu Mungu ni upendo na Yesu ni baba wa upendo. Yesu hakuwahi kufundisha kuhusu kisasi wala kushitakiana. Angalia alivyowaambia wale wayahudi waliompelekea kahaba wakimjaribu na alivyowajibu vizuri huku wakitupa mawe na kuondoka zao. Kasisitiza sana tujiadhari na chachu ya waandishi na mafarisayo...!!! Shida yako ni kutumia nguvu pasipo maandiko mkuu...!!!! Rejea tena na tena haya ninayokuandikia utapata maama yangu vyema...!!! Jumuia ndogo ndogo.....!!!!!