Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,703
Ana nini huyu??Kuna kiumbe kinaitwa nifah.....hii shughuli pevu nayo
Ana nini huyu??Kuna kiumbe kinaitwa nifah.....hii shughuli pevu nayo
Huyo jamaa kweli nami huwa namshangaa....!!Kuna huyu pimbi anayekwenda kwa jina la GENTAMYCINE. Kila kitu anakijua yeye.
Ninadhani ana-Fit hapo kwa Warumi.
My friend Bitoz hii ndo JF bhana never boredNa Mimi nimefanya kautafiti kangu nimegundua ww ni mpenda kick tu na maisha yako halisi yametawaliwa na umbea..Kisoda utadoda km mpaka poda !!
Hivi yukwapi Bishanga?Kitu bishanga sasa, yeye ni mwizi mwizi halafu tapeli kiaina.
Kitu kimoja ambacho hujakisema ni kuwa Evelyn Salt ni mchepuko wanguHapo kwa EVELYN SALT nakukatalia katakata!
Kwa mtazamo wangu huyu Evelyn Salt ni mke wa mtu, ameolewa ana kama miaka mitano kwenye ndoa yake.
Anajipenda sana na anampenda mume wake sana pamoja na mtoto wake.
Ila kikubwa ni kwamba mume wake hajui kama mke wake yupo jf na zaidi sana hata hajui jf ipoje. Mume wake huwa hakai nyumbani mchana. Pia mume wake ni mtu wa safari safari. Ana watoto wawili tu alozaa na huyo mume wake.... Tena ni watoto wa kiume wote.
Evelyn Salt ni mmama wa watoto wawili lakini ni mbichi kama vile hajazaa.
Nakataa! @Evelynsalt hachepuki japo anaonekana mrahisirahisi.Kitu kimoja ambacho hujakisema ni kuwa Evelyn Salt ni mchepuko wangu
Ni haki yako kukataa au kukubali. Lakini habari ndio hiyo. Mimi na Evelyn Salt hatujafahamiana JF.Nakataa! @Evelynsalt hachepuki japo anaonekana mrahisirahisi.
Ana tabia ya kucheka na kila mtu alafu pia ana utani.
Lakini hatoagi papuchi kwa wapita njia
Evelyn Salt aje aseme mwenyeweNi haki yako kukataa au kukubali. Lakini habari ndio hiyo. Mimi na Evelyn Salt hatujafahamiana JF.
Ukistaajabu ya mastar wa JF in real lyf...utayaona ya mleta mada!!!My friend Bitoz hii ndo JF bhana never bored
Kuna huyu pimbi anayekwenda kwa jina la GENTAMYCINE. Kila kitu anakijua yeye.
Ninadhani ana-Fit hapo kwa Warumi.
1 na 5 ni pimbi mmoja
Huwa Nacheka Sanaa Naposikia Neno Au Kulisoma Neno "Pimbi"!!1 na 5 ni pimbi mmoja
Nampigia simu. Atakuja muda si mrefuEvelyn Salt aje aseme mwenyewe