Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,571
Habari wakuu,

Mi mgeni humu. Pamoja na ugeni wangu nimekuwa nikafanya utafiti muda mrefu na sasa naomba niyalete matokeo ya utafiti wangu.

Kabla sijaanza naomba niombe ulinzi wa kutosha kutoka kwa mods. Huenda wengine wakachukizwa na ukweli huu na kutaka kunidhuru kwa namna moja au nyingine..

MADA: MAISHA NA TABIA HALISI ZA BAADHI YA JF MEMBERS

Nitaanza kuelezea mmoja baada ya mwingine, kisha nanyi mtaelezea waliobaki baada ya kuniunga mkonyo katika hili....

PRETA
My love, My baby, My one and only, My crush....Preta anaonekana ni mzuri wa nje na ndani. Hana marafiki wengi haswa mtaani kwao. Ana roho nzuri, hapendi tabia za kujionesha na kujishaua. Anavaa simple lakini anapendeza. Mengine mtaongezea....

LARA 1
Huyu ni shangingi sijapata kuona. Anapenda kushinda saluni kupiga umbea, akiwa kwao anapenda kusoma novels na kuangalia movies. Marafiki zake ni yale mashangingi yaliyoshindikana. Anakunywa pombe na mara chache hulewa, haswa za ofa. Ni mchoyo. Mavazi yake ni ya kishangingi.

SOOTH
Huyu muuza mitumba anapenda wake za watu. Ni mtu wa fujo fujo ukiongea nae hata kama mpo close hadi mtaa wa kumi watamsikia. Ni msela msela chalii ya Arusha. Anavuta bangi.

WARUMI
Haka ni kembamba hivi, kanajichubua. Kambea mtaa mzima wanakajua. Kutwa vibarazani kwa watu. Kanapenda pombe za kienyeji.

EVELYN SALT
Huyu ni tom boy. Ukikutana nae unaweza ukadhani ni dume shoga. Anapenda kuangalia mpira na kubet. Pia anavuta sigara.

Kat.ph
Haka kanafki sana. Muda wote kufuatilia maisha ya watu na kuwatuhumu watu kwa kutumia ushahidi wa fikra zake...

Hawa ni wachache niliowatoa MMU na chit chat. Bado utafiti unaendelea. Unaweza kunisajestia jina la unayependa kumjua kiundani nimuweke wazi....

NB: Utafiti wangu sio 100% correct. But kuna possibility kubwa ya ukweli....
 
NIFAH
She is cute but ni mbishi balaa. . Husumbuliwa sana na wanaume akitongozwa. Muda mwingi hutumia instagram akitukana na kuchamba.

Flora msoffe
Huyu ni mlevi wa kutupwa. Ni mchaga (obviously).. Ni muongeaji sana na hupenda kukaa kwenye group la midume. Marafiki zake wengi humsema behind her back
 
Habari wakuu,

Mi mgeni humu. Pamoja na ugeni wangu nimekuwa nikafanya utafiti muda mrefu na sasa naomba niyalete matokeo ya utafiti wangu.

Kabla sijaanza naomba niombe ulinzi wa kutosha kutoka kwa mods. Huenda wengine wakachukizwa na ukweli huu na kutaka kunidhuru kwa namna moja au nyingine..

MADA: MAISHA NA TABIA HALISI ZA BAADHI YA JF MEMBERS

Nitaanza kuelezea mmoja baada ya mwingine, kisha nanyi mtaelezea waliobaki baada ya kuniunga mkonyo katika hili....

PRETA
My love, My baby, My one and only, My crush....Preta anaonekana ni mzuri wa nje na ndani. Hana marafiki wengi haswa mtaani kwao. Ana roho nzuri, hapendi tabia za kujionesha na kujishaua. Anavaa simple lakini anapendeza. Mengine mtaongezea....

LARA 1
Huyu ni shangingi sijapata kuona. Anapenda kushinda saluni kupiga umbea, akiwa kwao anapenda kusoma novels na kuangalia movies. Marafiki zake ni yale mashangingi yaliyoshindikana. Anakunywa pombe na mara chache hulewa, haswa za ofa. Ni mchoyo. Mavazi yake ni ya kishangingi.

SOOTH
Huyu muuza mitumba anapenda wake za watu. Ni mtu wa fujo fujo ukiongea nae hata kama mpo close hadi mtaa wa kumi watamsikia. Ni msela msela chalii ya Arusha. Anavuta bangi.

WARUMI
Haka ni kembamba hivi, kanajichubua. Kambea mtaa mzima wanakajua. Kutwa vibarazani kwa watu. Kanapenda pombe za kienyeji.

EVELYN SALT
Huyu ni tom boy. Ukikutana nae unaweza ukadhani ni dume shoga. Anapenda kuangalia mpira na kubet. Pia anavuta sigara.

Kat.ph
Haka kanafki sana. Muda wote kufuatilia maisha ya watu na kuwatuhumu watu kwa kutumia ushahidi wa fikra zake...

Hawa ni wachache niliowatoa MMU na chit chat. Bado utafiti unaendelea. Unaweza kunisajestia jina la unayependa kumjua kiundani nimuweke wazi....

NB: Utafiti wangu sio 100% correct. But kuna possibility kubwa ya ukweli....
Na Mimi nimefanya kautafiti kangu nimegundua ww ni mpenda kick tu na maisha yako halisi yametawaliwa na umbea..Kisoda utadoda km mpaka poda !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom