Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

Ukistaajabu ya mastar wa JF in real lyf...utayaona ya mleta mada!!!
Kweli nyani haoni...........
Kayataka mleta mada kazi anayo Leo. Ukitaka ustar wa JF lete mada kama hizo ila uwe mvumilivu tu.
 
Mtoa mada unasema ni mgeni humu kisha umefanya utafiti wa muda mrefu!umeufanya vipi kwa muda mrefu nawe ni mgeni?au nazeeka vibaya jamaa sijamuelewa?
 
Me three....!!
I think wewe ni mkulima, unatumia bicycle kuendea shambani, and sometimes you have to walk pale bicycle inapokuharibikia... You are also too old, aka Kibabu...aliyekula too much salt haahaaa... May be this will make you not to pass by ya Uzi.... Je nimepatia life ya outside of Jf? Naomba my grade please..... Aaahhaaa... Thanks..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom