Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

Hapo kwa EVELYN SALT nakukatalia katakata!
Kwa mtazamo wangu huyu Evelyn Salt ni mke wa mtu, ameolewa ana kama miaka mitano kwenye ndoa yake.
Anajipenda sana na anampenda mume wake sana pamoja na mtoto wake.
Ila kikubwa ni kwamba mume wake hajui kama mke wake yupo jf na zaidi sana hata hajui jf ipoje. Mume wake huwa hakai nyumbani mchana. Pia mume wake ni mtu wa safari safari. Ana watoto wawili tu alozaa na huyo mume wake.... Tena ni watoto wa kiume wote.
Evelyn Salt ni mmama wa watoto wawili lakini ni mbichi kama vile hajazaa.
 
Kitu kimoja ambacho hujakisema ni kuwa Evelyn Salt ni mchepuko wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom