VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Pamoja na elimu yangu ya ngumbaru bila shaka ulichoandika hapo ni uchakachuaji wa lugha za watu!!!!!
Zubeda habari yako dada, Je wewe unaona kuna point yoyote ya watu kumkataa mtu sababu ya imani yake, hivi kwanini lakini tunataka kukaaribu haka ka-nchi ketu kazuri kenye amani, tuache hizo za kuchukiana, au wewe unasemaje?