Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

Hongera Jakaya Mrisho Kikwete kwa mbegu yako ya udini uliyopanda ili utugawe watanzania ili mafisadi muendeleze utawala wenu dhalimu.Lakini nakuhakikishia JK kuwa wewe ndiyo utakuwa mhanga wa kwanza wa sera yako hii ya UDINI kwani siku zote mwisho wa ubaya ni aibu
 
Hivi hii miislamu si ndiyo iliyokuwa unasema chadema na maaskofu watii mamlaka zilizopo kisheria?............kweli waislamu7 wanambwelambwela..........kikwete ndiyo kimbilio lao na baba yao hawasemi chochote bila kumtaja kikwete kisa muislamu na kisa kingine ni mahakama ya kadhi.....................kweli kuna kila sababu waislamu kufeli mitihani madarasani kwani madrasa zinawaharibu vibaya mno......................
 
jamani hawa waislamu ni kweli wanafelishwa necta???au ina maana kwenye necta kuna reg number wana identify za waislam na wakristo tofauti????IFERIORITY COMPLEX,someni acheni madrassa...
 
je hawa jamaa wanataka kila kiongozi awe shehe? their thinking capacity is below standard.
 
Tusipokuwa waangalifu Taifa letu litaingia pabaya sana kwa kuangaliana kwa majina yetu....Ukiitwa Mohamed utakosa haki ya kusaidiwa na kushirikiana na Richard,Tukimaliza hapo tutaangaliana kwa rangi,Yule Sabogo,Rostam au Abood hatokuwa na haki sawa na kina Mwasakafyuka,Rwegasira au Ntagazwa..Sumu hiyo ni mbaya na tuikemee,inaanza kama Utani lakini matokeo yake ni mabaya sana.

Jirani zetu Kenya walianza kulaumiana kwa ubaguzi wa kimakabila,na baadaye kila uteuzi wa Mzee Kibaki ukatafsiriwa kuwa ni njia ya kuimarisha kabila moja na kudhoofisha mengine,Katiba ikabadilishwa kumuondolea Rais uwezo wa kuteua bila kuulizwa,kwani sasa teuzi zote lazima zipitie kwenye Bunge.Juzi kwa kuondoa hali hiyo ya kupigiana kelele kwa makabila Rais kamteua Jaji Mkuu Mkenya mwenye asili ya kihindi.Hali hiyo imesababisha kero kubwa,kwani Bunge limekutana na kujadili kwamba Rais amekiuka utaratibu wa Katiba kwa kutomshirikisha Waziri Mkuu katika Uteuzi huo.Inawezekana kwamba kuna ukweli kwamba Rais alipindisha utaratibu,lakini ukiangalia nyuma ya pazia Ubaguzi wa kikabila ndio umekuwa uchochezi mkubwa katika siasa za jirani zetu

Tuogope Tatizo hilo la kubaguana kwa kuangalia Udini,Rangi au makabila...Katika Katiba yetu mpya kuwepo na pendekezo la kutoshirikisha namna yoyote ya Ubaguzi wa namna hiyo na Utendaji wa Serikali,kwani Serikali haina dini.Katika Kipindi hichi cha Uongozi wa Awamu ya Nne kumekuwa na malalamiko mengi ya Teuzi kuegemea Upande wa dini moja zaidi,tuondoe mawazo hayo ili tujenge Taifa lisiloendeshwa kwa mashinikizo ya kidini.

Waislamu wa Kigoma wamekuwa wakali,kwa sababu tu watendaji wao wakuu kiserikali Mkoani wote ni Wakristo.Tuwaelimishe wananchi hao,ili waangalie Utendaji kazi wa mtumishi na si dini yake.hapa chini naorodhesha baadhi ya watendaji wa Serikali Mkoani kigoma

1); Mkuu wa Mkoa - Joseph Simbakalia.

2);Mkuu wa Wilaya Kigoma - John Mongela.

3);Mkuu wa Wilaya Kibondo - Danhi Makanga.

4);Mkuu wa Wilaya Kasulu - Betty Machangu.

Naomba niulize: hivi hawa watendanji - Mkuu wa Mkoa na hao wakuu wa wilaya walichaguliwa na Julius Nyerere (Mkristo), Benjamini Mkapa (Mkristo) au Jakaya Kikwete?
 
Naomba niulize: hivi hawa watendanji - Mkuu wa Mkoa na hao wakuu wa wilaya walichaguliwa na Julius Nyerere (Mkristo), Benjamini Mkapa (Mkristo) au Jakaya Kikwete?

Walichaguliwa kwenye mkoa huo wa pembezoni kwa sababu ya dini yao. Hasa huyu mkuu wa mkoa ukiangalia nafasi aliyokuwa nayo kabla ni kama kukomolewa ima kwa sababu ya dini yake au mgogoro wa kimaslahi.
 
Ni bora Waislamu waliosoma elimu ya madrasa kuliko elimu ya uwongo inayotolewa makanisani ,huko ndiko uwongo unapooota mizizi na kujadiliwa na kupasishwa halafu kuenezwa mitaani ,unajua katika Uislamu hakugaiwi madoli na kuambiwa yanatoka kwa Mungu wala hakugaiwi mikate na maji eti maji ya uzima yanatoka kwa Mungu ,kubwa ambalo nililishuhudia ni pale gari ya mzungu ilipokuwa iliposukumwa ,ilikuwa hivi mzungu aliitoa waya za plug gari yake ,washamba wakijijini hawakuelewa hilo ,mzungu akawambia wasukume gari jamaa walisukuma mpaka wakakaribia kumtukana mzungu ,mzungu akawageukia na kuwambia waimbe nyimbo za kumsifu bwana Mungu ,akawaimbisha na kuomba madua hapo ,huku akizunguuka gari na kuzichomeka waya za plug kinyemela ,kisha akawaambia wasukume ,aloo gari ikashika na kunguruma ,hapo walimsifu na kuimba mpaka asubuhi ,eti mungu amewasha gari.
 
Nashauri sasa serikali iweke sheria hawa masheikh na maimamu walazimishwe kwenda shule ili wapate elimu.. Kwani nadhani elimu itawafungua watambue nini kazi yao na wajibu..
 
Nashauri sasa serikali iweke sheria hawa masheikh na maimamu walazimishwe kwenda shule ili wapate elimu.. Kwani nadhani elimu itawafungua watambue nini kazi yao na wajibu..

Wewe umesoma hadi?

Acha kuwadharau masheikh wamesoma sana..kama hukubaliani nao toa hoja.

Ni demokrasia pia kutoa matamko kama walivyofanya wenzao wakristo kwenye waraka wao..ok
 
Ni bora Waislamu waliosoma elimu ya madrasa kuliko elimu ya uwongo inayotolewa makanisani ,huko ndiko uwongo unapooota mizizi na kujadiliwa na kupasishwa halafu kuenezwa mitaani ,unajua katika Uislamu hakugaiwi madoli na kuambiwa yanatoka kwa Mungu wala hakugaiwi mikate na maji eti maji ya uzima yanatoka kwa Mungu ,kubwa ambalo nililishuhudia ni pale gari ya mzungu ilipokuwa iliposukumwa ,ilikuwa hivi mzungu aliitoa waya za plug gari yake ,washamba wakijijini hawakuelewa hilo ,mzungu akawambia wasukume gari jamaa walisukuma mpaka wakakaribia kumtukana mzungu ,mzungu akawageukia na kuwambia waimbe nyimbo za kumsifu bwana Mungu ,akawaimbisha na kuomba madua hapo ,huku akizunguuka gari na kuzichomeka waya za plug kinyemela ,kisha akawaambia wasukume ,aloo gari ikashika na kunguruma ,hapo walimsifu na kuimba mpaka asubuhi ,eti mungu amewasha gari.

Kwa kawaida huwa sijihusishi na mijadala ya dini. Mijadala pekee ya dini huwa naijadili na watu wa imani yangu tu, imani ya mtu mwingine wala hainihusu. Ila hii hadithi yako hata mtoto wa miaka mitano hawezi kuiamini. Ni uhakika (kutokana na hadithi yako hii) kuwa hata maana ya "plug" hujui, maana ungejua "plug" kwenye gari inakuwa wapi hadithi yako ungeitunga kwa namna tofauti.

BTW: For argument's sake - ulijuaje hao "washamba wa kijijini" walifundishwa kanisani? Ni watu kama ninyi ndio mnaotukanisha Uislamu.
 
Ingalikua ni kwamba unasema wananchi wa Kigoma wamkataa RC ningekuelewa. Lakini kuniambia sijui eti watu wa dini fulani waikataa RC mpaka hapo sikuelewi. Kwani kwa wakati huo wa kumkataa RC walitamka kabisa kwamba wanamkataa kutokana na dini yake???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom