nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 443
Kwa Serikali hii ya JK. Wataandamana hata kutukana na ky=ufanya vurugu lakini hawataguswa. Ila ingekuwa Chadema tayari wangeshafyatua kitu kizito au Bomu la Machozi.
Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.
mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?
mkuu Maxence Melo huu ni upendeleo mkubwa sana hasa kwa hao member wawili kila siku wanalalamikiwa .wakuu there is great segregation discrimination and humiliation going on here in our good forum pliz chek this wakuu
nawaomba mpitie jukwaa la complains you will understand what am talking about
ile mada niliisoma sana hakukuwa na tusi lolote na alitoa sourse usitete mkuu hili ninauhakika nalo,ilikuwa imechangiwa na watu kama 9 kama sikosei omba irudishwe kama ilikuwa na makosa yoyotekuna sababu nyingi za kufungwa mada! Saa nyingine mada ni nzuri lakini watu wanaweza kuiharibu kwa kuanza kuleta kashfa na matusi kwa dini za wengine hivyo mods wanaifunga ili kuepusha maswala kama hayo.
Bado upo ofisini tu hapo lumumba? Hauendi lunch? Au bado ujafikisha target ya posts???
Mimi nafurahia hii new hollywood product! Innocence of Muslim! Baadaye naenda Kidongo chekundu
Wanabodi,
Nipo maeneo ya barabara ya Lumumba naona makundi ya Waislam wakielekea katika viwanja vya Kidogo chekundu huku gari za polisi wakiwa tayari kupambana na waandamanaji.
Hali sio ya kawaida tusubiri kitakachotokea.
Watu wengine kwa kulalamika maandamano yanafanyika sasa hivi thread utaanzishaje jana...kwa hiyo unataka tuondolewe JF mbakie Chadema peke yenu.
MIMI SIO MFUASI WA CHADEMA WALA SINA KADI YA CHAMA CHOCHOTE ,NENDA KWENYE JUKWAA LA COMPLAINS UANGALIE POSTS WATU WANAKULALAMIKIENI WEWE NA ZOMBA MNAFANYA MAKOSA NA HAMFANYWI LOLOTE WATU WAKIWAJIBU TU WANAKULA BAN THEN JIREKEBISHENI
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/325475-ritz-na-zomba-nao-ni-moderator.html
Wanabodi,
Nipo maeneo ya barabara ya Lumumba naona makundi ya Waislam wakielekea katika viwanja vya Kidogo chekundu huku gari za polisi wakiwa tayari kupambana na waandamanaji.
Hali sio ya kawaida tusubiri kitakachotokea.
Polisi wameshindwa kuwazuia Waislam naona wanazidi kuelekea kidogo chekundu.
Yeah,na kuna mmoja alinitisha eti "kuwa makini",something is definetly not right.mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?