Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

Status
Not open for further replies.
mimi nawaogopa sana hawa jamaa, yaani wenyewe kiongozi wa taasisi zinazowaongoza akitofautiana nao sio kwamba wanamfukuza kazi bali WANAMCHINJA. Mbaya kweli kwa binadamu tunaoishi katika kipindi hiki cha historia ya dunia. Blessed are those who will live in centuries to come
 
wapambane nao kwa nn?
Wamewanyima wasifanyie jangwani hivyo wakaamisha eneo, sasa tatizo liko wapi?

Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.
 
Watakuwa wanaandamania filamu hao. Hata hawajaiona, waliposimuliwa tu, wakaandamana.
 
Kwa taarifa tu baadhi ya balozi zimetoa tahadhari kwa raia wake kuelekea maeneo ya mjini leo! sijui kunani kwakweli.

.
Kumbe hizo balozi zinathamini sana watu wao eeh? Heri wao maana wana wakuwathamini. Kwetu sisi dhamana yetu ni sisi wenyewe.
.
 
Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.

Ingekuwa Chadema hapo!!!!
 
.......alafu wakati wa ramadhani ubalozi wa marekani uandaa futari na jamaa wanagombania sana!
 
Hawa jamaa wanajua kujiorganise kuliko intelijensia ya IGP Mwema. Tatizo Tz wamekalia kupambana na wapinzani kwa nguvu kubwa kupita kiasi, sasa kushindwa kuwadhibiti ama kutekeleza matakwa yao hawa ndugu zetu sijui watasingizia nini sasa.
 
.
Kumbe hizo balozi zinathamini sana watu wao eeh? Heri wao maana wana wakuwathamini. Kwetu sisi dhamana yetu ni sisi wenyewe.
.

Kuna raia wa kigeni aliyenipa taarifa hizi namtafuta anipe sababu ya balozi kuwaonya kwenda mjini leo.
 
mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?
mkuu Maxence Melo huu ni upendeleo mkubwa sana hasa kwa hao member wawili kila siku wanalalamikiwa .wakuu there is great segregation discrimination and humiliation going on here in our good forum pliz chek this wakuu
nawaomba mpitie jukwaa la complains you will understand what am talking about
 
Ukianzia Tz bara, Zanzibar, Mombasa, kuelekea somaria hadi uarabuni siria na kwingineko, waislamu ni watu wa kulaumiana, kunungunika, kulaani, hasira kali, visasi, kugawanyika (vikundi vikundi), ubabe, matusi, kuandamana, kuua, kuuana, vita na vitu vinavyofanana na hivyo!
 
Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.
This is good news! Hakuna pahali polisi wanaweza kuzuia nguvu ya umma. kukusanyika ni haki ya msingi ya wananchi.
 
Mbona wako busy sana na maandamano ambayo hayana tija....Hawa...toka mfungo umeisha wao na maandamano....madai yao ni nini? Haya maandamano ingekuwa kudai maisha bora etc.....dah hawa ndugu zetu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom