Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

Status
Not open for further replies.
Waislam tumezidi, tunapenda maandamano kuliko kutafuta pesa. Huu ni muda wa kazi, watu wako bize na kutafuta maisha, siye twahasishana eti tukalaani sinema vidongo vyekundu? Ndo maana hatuendelei kwa uvivu wetu wa kutafakuri
 
Mimi nafurahia hii new hollywood product! Innocence of Muslim! Baadaye naenda Kidongo chekundu
 
mi nawatakia kila la kheri ndugu zangu, uislam ni dini ya amani na waislamu sio watu wa vurugu na kamwe hawakubali kudhulumiwa au kuonewa.
Natamani sana niwepo ila ndo hivyo nipo mbali na mji.
Mkuu Ritz endelea kutujuza.
Tunaomba utueleze kila kinacho endelea.
 
Filamu hawajaiona hata kuiona wamepandwa na hasira,futari wakiandaa ubalozi wa marekani wanakimbilia kula,Mengi ambaye kafiri akiandaa futari wanakimbilia kula, adui yao Bakwata hawandamani kumtoa,wamekalia kupambana kienyeji.
 
This is a blessing in disguise, haya yote yana prove point ya CHADEMA, Maandamano (mikutano) - polisi = amani
 
Viongozi wa dini inabidi waangalie jinsi ya kuelimisha waumini wao. Maana kwa hii trend watu wameacha dini wanaanza kudili na mambo ya kidunia sasa. Sensa imeisha sasa tunatafuta episodi nyingine ili vurugu ziendelee..Waislamu inabidi wawe makini sana na hizi issue za vurugu coz kila ijumaa wanatafuta reason ya kuandamana. Mnasababisha hata waumini waanze kuogopa dini zao..
 
Tupe updates kinacho zungumziwa huko!

Wanabodi,

Nipo maeneo ya barabara ya Lumumba naona makundi ya Waislam wakielekea katika viwanja vya Kidogo chekundu huku gari za polisi wakiwa tayari kupambana na waandamanaji.

Hali sio ya kawaida tusubiri kitakachotokea.
 
Mkuu,njoo ushuhudie mwenyewe usipende kusimuliwa ogopa viwanda vya uongo,wasikutishe FFU karibu kidongo chekundu.


mkuu ngoja mpaka niione movie yenyewe ndio nitakuja waunga mkono,sunajua hapo kidongo chekundu hakuna aliyeiona ata mmoja..watu wana mizuka tu ya kulianzisha.
 
Polisi wameshindwa kuwazuia Waislam naona wanazidi kuelekea kidogo chekundu.
Mh. Kova aliiga matendo ya wakuu waliomtangulia kwa kutoa statements zenye mashaka kwa umma kuisaidia CCM/serikali lakini hakujua kuwa matokeo ya vitndo hivyo ni mabaya na hasara kwa taifa zaidi ya faida zake. Sasa ona, nchi nzima wanaonyesha wazi tena kivitendo kuwa hawana tena imani na jeshi la polisi.
Waislamu sasa hivi sio rahisi kuwazuia tena baada ya jaribio lao la Wizarani pale kufanikiwa. Ngoja tusubiri
 
hizi ndio mada zakujipatia ban bureeeeeeeee ngoja ni:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
Kuna sababu nyingi za kufungwa mada! Saa nyingine mada ni nzuri lakini watu wanaweza kuiharibu kwa kuanza kuleta kashfa na matusi kwa dini za wengine hivyo mods wanaifunga ili kuepusha maswala kama hayo.

mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?
mkuu Maxence Melo huu ni upendeleo mkubwa sana hasa kwa hao member wawili kila siku wanalalamikiwa .wakuu there is great segregation discrimination and humiliation going on here in our good forum pliz chek this wakuu
nawaomba mpitie jukwaa la complains you will understand what am talking about
 
Haya sasa na hapo nako watasema ni chadema?kwn hata wanafunzi wakiandamana wanasema ni chadema na hapo sasa cjui watasemaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom