Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya wakiume wanajidai, madharau na kujikweza, ni vigumu kuifuta tabia hiyo kwa sababu ni genetically inherited, si kitu cha kujifunza baada ya kuzaliwa, ushauri wangu ni kuwa tujifunze kuwavumilia, kwasababu hawafanyi hivyo kwa makusudi.
 
Ni mambo yanayohm ktk vizazi bila sababu. Lakini pia ubaguzi wa bila sababu unawaponza.

Lakini tatizo hilo kama kweli we ni Muhaya, basi usilikuze. Ni dogo. Tatizo kubwa ni la WAHINDI! wako radhi kunyonga mtoto ingawa ngono na dda zetu anpenda sana!
 
Wahaya wakiume wanajidai, madharau na kujikweza, ni vigumu kuifuta tabia hiyo kwa sababu ni genetically inherited, si kitu cha kujifunza baada ya kuzaliwa, ushauri wangu ni kuwa tujifunze kuwavumilia, kwasababu hawafanyi hivyo kwa makusudi.


Hapana wahaya si wote wako hivyo...jamani hii imebidi nichangie,jamani hii tabia ilikuwa zamani...sana hata ikafikia wakawa hawaoani na wachaga....ila kwa sasa wala swala la ukabila katika mapenzi halina nafasi...kwa kweli...ilimradi umpate umpendaye...

Miaka ya karibu watu walikuwa nabeba vyuma kujenga body ili wawe kivutio kwa wadada...lakini hiyo phase....imeanza kupotea...siku hizi ni akili katika maisha..ya kuweza tunza familia..sasa ukiwa na hizo sifa...basi hata kama ni muhaya wapata chako kwa raha.

Moja ya vitu vinaweza kuni turn off ni siku ya date ya kwanza mdada aniulize kabila langu..kwa kweli namuona ingekuwa zamani wakati wa nyerere huyu ingekuwa ni mkabila ambayo ilikuwa inapigwa kwa kasi ya ajabu..iweje uulize kabila?why...nini kabila na mapenzi..
 
Jamani naomba kufufua hii mada tena ingawaje naona ilifungwa kwa kipindi cha muda mrefu.

Kuna jamaa yangu yuko njia panda kweli manake yeye ni mchaga lakini anataka kumuoa binti wa kihaya! Kweli amempenda huyu binti but inaonekana anasitasita haswa ukizingatia zile mila za kichaga kwamba wao mara nyingi wanapenda kuoana wenyewe kwa wenyewe. Hii inampa tabu sana kwenda kumtambulisha binti nyumbani kwani kutokana na maelezo yake anasema wazee wanaweza wasimkubali binti, tu kwasababu ni MHAYA na wahaya akina dada wanajulikana kwa tabia zao wa "KUPENDA NGONO" kwa sana.

Sasa anaomba ushauri afanyaje kwani yupo njia panda haswa, na binit ni mzuri haswa na analipa!

Swali ni je, ni kweli hili jambo la wanawake wa kihaya la "kupenda ngono sana pamoja na kujidai/kuringa/mapozi" lipo au ni mind set tu?

Naomba ushauri wenu haswa kwa wale ambao sio wahaya na wameoa wanawake wa wahaya (au wanawake kutoka Mkoa wa Kagera) anisaidie ili nimshauri jamaa yangu vizuri.
 
Anatoka BkB?

Kwa umbo ni wazuri tu sana..nami namfafagilia hawa wadada siku hizi wazuri sana!

Tofauti na wanaume wadada wa Kihaya hawana sana hii ya kujisikia sana!

Haya women are probably the most beautiful in Tz!
 
Aoe tu kama hamtaki aseme masingo tupo........biashaa ya wazazi kumkataa haina logic kwani wazazi ndio watakaoishi na huyu mdada?
 
...kasumba tu. Akienda kumtambulisha, awaambie wazee huyo binti ni Mtutsi... wakijatambua ukweli, tayari na 'mjukuu' wao keshazaliwa...
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

Kwa sababu:

1: ndiyo wa kwanza kuanza biashara hiyo chafu Tanzania, kila kona ya mji hapa Tanzania unakuta vibatari ndani ya nyumba unakuta kanga ndiyo mapazia.
2: ndiyo wa kwanza kuleta ukimwi Tanzania
 
Mimi ni mhaya fika. Ni kweli kizazi cha kuanzia baba yako kwenda juu kilikuwa na tatizo moja kubwa: Superiority Complex. Wanyankole huko Uganda bado mpaka sasa wana tatizo la kujiona wako juu ya jamii nyingine hivyo jamii nyigi haziwapendi. na sisi wahaya tuliwahi kuwa kama hawa wenzetu wa Uganda. Kumbuka hapo zamani kidogo kijana wa kihaya ilikuwa sio rahisi kuoa makabila mengine kwa kisingizio kwamba ni "wanyamahanga"! Binafsi mimi harusi yangu ilisusiwa na ndugu zangu wengi eti nimeoa Songea! Hivyo basi wasichana wa makabila mengi wanalijua hili na ndio maana wengi wao wanakuwa na mashaka kutoka na kijana wa kihaya. Hata kama wewe binafsi unampenda but she is not certain about your family and relatives and that counts alot in a relationship. I dot not regret marrying outside my tribe and my wife is one of the most respected in laws in my family. Anyway kidogo kidogo the attitude is now changing for the better. Hang in there do not despair.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu Byasel amezungumza kile anachokijua bila kupunguza au kuongeza chochote.Kuna jambo mmoja tu nataka kuliweka kwenu kama angalizo kwamba "Maji hayasahau kale yake"Maana yake ni kwamba ukiyachemsha maji yatarudi kuwa baridi,Na ukiyagandisha yatayeyuka kurudi katika hali yake ya asili.Sasa basi kwa wale ndugu zangu wa kabila hilo, Ni dhahiri kabisa kuwa hata muwe mmeendelea kiasi gani ile asili yenu bado imebaki kuwa kitendawili katika jamii za watu wengine husasani wale wanaowajua.
Nitawapa mfano mmoja wa jirani yangu kule Copenhgen,Denmark huyu bwana ameoa mama wa kidenish yeye ni daktari wa meno msomi mzuri sana.Ameishi huko miaka takriban 25,Lakini hajaweza kuacha tabia zile zake za asili,Baya zaidi wakija wanawake wa kihaya huku lazima wakakumbushane ile michezo yao ya kijadi..(...).Sasa sisi tunaomjua kwa kweli tunakaa mbali sana naye.Hata wageni wapokuja huku wakimsikiliza
muda mfupi tuu humtenga kwa tabia zake za asili.
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu



alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....
 
mdogo wangu kaolewa na mhaya na nilisahau kumention hii.walikuwa hawaelewni yeye na mme wake mimi pia nilikuwa simpendi shemeji yangu kila kitu dada yangu akifanya yeye anadharau mpaka wakaachana.shemeji yangu alikuwa hawezi kucompromise na mkewe.mimi naona wahaya mcool down kidogo tu coz there is nothing wrong being proud of urselves.



haaa bob usikute wewe ndio kakake nanilii, mana wiki iliyopita nimekutana na mdada anasema amefika home kamkuta mume kachukua kila nguo iliyoyake akakitoa, bila ugomvi/taarifa wala nini, alikoenda hakujulikani alipo mpaka now, ni muhaya huyo! mkaka anamajidai, kafukuzwa kazi mahali fulani kasotaa town kibitozi akapata mahali pengine mafnd wakamshauri njoo huku kaenda huko katimuliwa! loooo hakana kitu kanauza sura tu lakini ni kanadharau/majidai/kujickia....puuuuu na mke wakati fulani ndio alikuwa anamuhudumia kwa kila kitu........hapana muhaya yahitaji moyo...
 
....Nimewahi kusikia kuhusu hii kitu inaitwa katerero/katerelo???? kwenye mapenzi kuwa kama mwanaume wa kabila tofauti akiwa na mpenzi wa kihaya bila ku-practise katerero anaweza kumkimbia ina ukweli??? What's katerero by the way???..




unamchkua kipanga wako unampekecha kwa nyamayao kwa nje nje maji maji mengi wanamwagika, kesho mnaanika godoro nje mnasema baby kakojolea! hiyo ndio katerero.lol
 
Kingine ni kwamba wanawake wanadai kwamba wanaume wa kihaya wanaweza kukuletea mhaya mwanamke nyumbani na kukwambia ni dada yake kumbe hawana undugu lakini pembeni jamaa anakula uroda. Haya ni kuyasikia sijayathibitisha lakini nimeshiriki sana katika majadiliano kama haya kuhusiana na wahaya makazini na vijiweni pia.

Kwa ujumla wahaya ambao ninafahamiana nao hasa kizazi kilichozaliwa na kukulia miji mingine nje na huko kwao, ni watu wazuri sana. Ninavutika na jinsi wanavyopenda ku-upgrade maisha na status zao na sidhani ni jambo baya.Ila bado wana kaubaguzi fulani inapokuja suala la ndoa na makabila mengine.Wanawake wengi wameshashtuka na hujitahidi kutokukubali kuolewa na wahaya maana ujue utakuwa na mke mwenza wa kihaya tu! Hili nimelishuhudia kwa ndugu yangu wa karibu sana.Mdada aliolewa na huyo kibosile wa kihaya aliyejifanya ameshabadilika na hafungamani na "masharti"!Siku ya siku mdada alidanganywa mume kasafiri kikazi kumbe kenda BK kuoa mhaya kimila! Mpaka aje ajue ukweli.... tayari kuna watoto wawili walishazaliwa na yeye hana habari.
Kwa wakina dada wa kihaya wanaoolewa na makabila mengine sina uhakika kama nao hupenda "kutunza jadi" na kama ndio, kivipi sijui.

Labda niseme kuwa Wahaya waacheni waoane wenyewe kwa wenyewe ndio wanawezana.Wengine mbakie kuwa na urafiki wa kawaida tu nao.
 
Last edited:
How most of the people from Bkb live with the rest also matters. Kujikweza bila sababu, dharau kuhusu watu wengine, kujitenga kwa sababu mtu hatoki mnakotoka mnapokuwa wengi huwa inachangia sana watu kuwaelewa vibaya watu watokao huko. Ila wapo wengine ni waungwana kweli huwezi kuhisi kama ni wa bkb.Isipokuwa mpaka ukutane nao ipo kazi.
 
wadau acheni hizo,haya ni mambo ya stereotype tu,kama ni arrogance hiyo ni tabia ya mtu binafsi.nafahamu watu wengi wenye nyodo wengine wasukuma,nyakyusa,wahindi....just mention it. Mimi nadhani kikubwa ni wawili ku hit basi,mambo ya makabila hayahusu,afterall nasikia wanaume wa kihaya kwa teknolojia ya ngono ndo wenyewe!

hivi JF inaelekea wapi, kama tumeanza kusemana kwa makabila yetu na kusahau matatizo yetu, inaonyesha kiasi gani tu wavivu wa kufikiri na kukimbilia stereotyping, this is NONSENSE unless hili liwe jamvi la umbea na upashkuna.
Sidhani kama tpoci hii inautofauti kati ya wale wanaoshutumiana kwa UDINI tutaanza kupigana makofi humu humu.
 
Naona mmenigusa saana wana JF. Mimi huko ndo kwetu,nikianza na wanume la kujifanya wao ndo wao na ndo wana maamuzi ya mwisho,ili lipo lakini c kwa watu woote,naamini kuna watu wameolewa na wahaya na wanaweza kudhibitisha hili.Tabia kama tabia n ya mtu binafsi,hivyo haiwezi kutumika kama kigezo cha kuhukumu jamii nzima,mkiwa na mwizi kwenye familia yenu haimaanishi kwamba wote ni wezi.Kuhusu mambinti ni kweli ni wazuri na waliowengi wanpenda kuolewa na makabila tofauti kwa sababu wapo flexible na wanabadilika kulingana na treatment ya yule aliyekutana naye. N

Na kwa wale kaka zangu wahaya wenye tabia ya kujisikia,tabia hii mimi binafsi inanikera saana,maana haina faida yoyote kwenye jamii zaidi ya kukuharibia sifa. Ebu muache hizo tabia,wengine hatuzipendi hata kidogo na hatuko hivyo.Binadamu wote ni sawa.
 
Back
Top Bottom