Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Audax, Thanks for sharing your thoughts about wanaume wa Kihaya. Inanifurahisha sana kuona kwamba hata wahusika toka kabila la wahaya wanatoa michango yao katika mjadala huu bila kupandisha jazba na kusema ukweli wa hali kama wanavyoijua wao.
 
siwezi ku-comment kwenye hili....kwani siwapendi wahaya hata kidogo.....kuna binti mmoja nilimtokea akaniambia anachotaka sio pesa wala nini...ila anataka niwe RIJALI wa nguvu tu na yeye ni daily anataka game....nani anaweza haya mambo ya kurukiana kila siku....hata siku nimerushwa pesa kwenye biashara zangu?? No! No!
 
Hii c kweli kabisa,kwa ukweli c kwamba wanpendeleana ofcn ni kweli wahaya wameenda shule jamani na hawawezi kutolerate mawzo ambayo hayajengi.Wenzetu madarasa waliyaona mapema saana na sasa bado wanendelea kwa hili hamna kujidai tuwe wa kweli. Tatizo la kusema eti hamna kugombea urahisi ni kwa sabau ya wivu tu maana watu wengi hasa kwenye vyuo vikuu wahaya ni wengi saana na wana uwezo wa ktatua mambo. Ebu amkeni,angalia mbele,peleka ndugu zenu na muwahamashishe wasome ili wawe na uelewa wa mambo.

Remember education is power!!

Habari za mapenzi ni minor saana hapa,hazipaswi hata kuongelea no body is perfect ktk hili,kila kabila lina mapungufu yake na yanatofautiana pia.
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

Wasiwasi wako tu; hiyo stigma labda unayo kwa sababu uko huko nje lakini kwetu hapa bongo siioni hiyo...

labda ni kale ka-arrogance ka kishamba ndio huwa kanafanya baadhi ya watu kuwa uncomfortable lakini siku hizi kamekuwa kama joke tu

IN SHORT NI KWAMBA THERE IS NO STIGMA
 
Hii c kweli kabisa,kwa ukweli c kwamba wanpendeleana ofcn ni kweli wahaya wameenda shule jamani na hawawezi kutolerate mawzo ambayo hayajengi.Wenzetu madarasa waliyaona mapema saana na sasa bado wanendelea kwa hili hamna kujidai tuwe wa kweli. Tatizo la kusema eti hamna kugombea urahisi ni kwa sabau ya wivu tu maana watu wengi hasa kwenye vyuo vikuu wahaya ni wengi saana na wana uwezo wa ktatua mambo. Ebu amkeni,angalia mbele,peleka ndugu zenu na muwahamashishe wasome ili wawe na uelewa wa mambo.

Remember education is power!!

Habari za mapenzi ni minor saana hapa,hazipaswi hata kuongelea no body is perfect ktk hili,kila kabila lina mapungufu yake na yanatofautiana pia.

habari za mapenzi si minor hata kidogo....hata kama mapungufu yapo kila kabila ni lazima sisi kufahamishana na kujadiliana. Mimi sioni ubaya uko wapi
 
Tatizo ni woga walionao dada zetu na kuhofia usalama wao wakati Kate....inaendelea. Wao wanapenda sana utamu lakini hawataki ku take risk.
Hawakukatai kwa ubaya ila ni usalama wao tu ndio wanahofia,kwa hiyo ni bora ukawachapa hiyo kate......wakiishaona utamu wake mwishoni ndio unawaambia kuwa wewe ni M.BK. Mbona wagita wanaoa wakati nasikia kule lazima mwanamke atwangwe mangumi ndio shughuli za kuvua zianze?*?
 
Hapo kweli umenena mimi nimesoma nao sehemu mbali mbali tabia ndo hiyo hiyo ya kujiona wao bab'kubwa ninaye mwingine mhaya jilani yetu dah balaa yeye ni kuponda tu utasikia aaah utanunuaje baloon mala baloon si gari nunua Vogue yeye huku hana hata pikipiki au baiskeli basi anajiona balaa kama tajiri haishi kujivunia kwa Karamagi eti mjomba'ake duh hawa watu mmh!

Tena akiwa ametokea Kashozi ndo balaa
 
habari ndio hiyo kuwa wahaya wake kwa waume wanatiliwa uwalakini. mtu akisema ana demu wa kihaya utasikia, "He! bwenga?" sijui bwenga ina maana gani. nasikitika kusema mzazi wangu alishaniambia sahau kuoa mhaya! inabidi mfanye kampeni ya kitaifa kuondoa hii stigma. pia wanasema mtu wa kabila jingine akioa mhaya, atakuja mhaya mwingine mwanaume wataongea kihaya atajitambulisha kama kaka kumbe mume mwenza. sio nyie tu, hata wamachame!!
 
Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu
jaribu kuchunguza kwa undani makabila ya kanda ya ziwa kasoro Tarime, suala la kutahiri ni aghalabu sana unless uwe kwenye position ya kutembelewa mara kwa mara mwilini na wanamama. Angalia pia hata college nyingi kukiwa na jamii kubwa ya makabila ya kanda ya ziwa suala la utani wa mapenzi kutoka kwa kina baba kwenda kwa wasichana lina nafasi ndogo sana na hata kama lipo ni kwa wale wajanja tu waliomenya!!! Au natania JF members?
 
alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....

Haya sasa Son of Alaska haya ndo umeyataka mwenyewe sasa shauri yako. Na wakaka wengi wa Kihaya watakulaumu kwa kuanzisha huu mjadala kwani wapo wengine wataachwa na wachumba zao ambao si wahaya wenzao kwa kuhofia kunyanyaswa na kisha kuachwa solemba.
 
Kuna tetesu kuwa Wahaya ndio chanzo cha H.I.V. tanzania,hawatairiwi na wana maringo sana,je ni kweli?
 
Haya sasa Son of Alaska haya ndo umeyataka mwenyewe sasa shauri yako. Na wakaka wengi wa Kihaya watakulaumu kwa kuanzisha huu mjadala kwani wapo wengine wataachwa na wachumba zao ambao si wahaya wenzao kwa kuhofia kunyanyaswa na kisha kuachwa solemba.

MUHAYA HAACHWI,yeye ndio anaacha,the moment a woman comes across the sacred art of katerero,which catapults her to cloud nine,there is no way she can elope.she is now totally under the spell and no one else can make her scale such heights
 
siwezi ku-comment kwenye hili....kwani siwapendi wahaya hata kidogo.....kuna binti mmoja nilimtokea akaniambia anachotaka sio pesa wala nini...ila anataka niwe RIJALI wa nguvu tu na yeye ni daily anataka game....nani anaweza haya mambo ya kurukiana kila siku....hata siku nimerushwa pesa kwenye biashara zangu?? No! No!

wewe sipo naona you are in the wrong forum,huwapendi wahaya hata kidogo.This at most is cheap talk not worth of space in JF
 
wewe sipo naona you are in the wrong forum,huwapendi wahaya hata kidogo.This at most is cheap talk not worth of space in JF

OOoh yeah hii post nilikuwa naignore mwanzoni kumbe inaelekea kuzuri! Kuna ndugu yangu aliowa mhaya anayetokea maeneo ya Kanyigo, alikuwa anakuja kutulalamikia mke wake anapenda mpingo all da tyme, hata akiwa mwezini...tulimshauri labda ni ujana baada ya muda atapoa....jamaa anadai mkewe kadri siku ziendavyo ndivyo anavyozidi kupenda mpingo!! Jamaa huchapa kila siku sasa amezoea jamaa akiwa seminar mkewe lazima awepo duuuu sijui kama mademu wote wa kihaya wako hivyi libido 100%:cool:
 
muhaya ni mbantu 1000%,wengine ni wabantu waliochanganyachanganya damu,hence libido ya muhaya ikiwa 100% usishangae,hii ni damu moto
 
Let me tell you experance yangu na wahaya nilikaa nao pale Morogoro Road na Msimbazi kabla barabara haijavunjwa.mke na mume walikuwa wanaishi pamoja.Basi yule bibi kazi yake ikifika anapokea wageni nyumbani na yule baba harudi nyumbani hadi mitaa ya saa sita usiku.Wakati anarudi haendi moja kwa moja nyumbani kuanzia mtaa wa tatu akiwa amelewa anapiga kelele anaita MAMA BABU kwa sauti ya makelele yaani kumuashiria yule bibi[mama babu]kuwa narudi make sure nyumbani salama huko hakuna mtu.Cha ajabu hakuwa peke yake kulikuwa na familia nyengine tena walikuwa na watoto wa kuzaa lakini bwana anfanya kazi na bibi anaendeleza libeneke na bwana anajua na hamna noma.I still have a hard time understanding that.hamna wivu mimi si nitaua mtu jamani ?

SAHIBA.
 
Hivi na Wanyambo nao ni Wahaya?

Na wapo pia wanatabia kama za Wahaya au? Naomba tofauti kati ya makabila haya mawili (wanyambo na Wahaya) na kama yanatabia zinazofanana! manake mshikaji kabanwa kweli haswa na binti wa Kinyambo...!
 
Back
Top Bottom