Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Hivi na Wanyambo nao ni Wahaya?

Na wapo pia wanatabia kama za Wahaya au? Naomba tofauti kati ya makabila haya mawili (wanyambo na Wahaya) na kama yanatabia zinazofanana! manake mshikaji kabanwa kweli haswa na binti wa Kinyambo...!

wanyambo sio wahaya. ILa nao wanavijitabia vya kihaya. Ndio wale wale si wapo mkoa mmoja.
 
heeeeeeeeeeeeeeee SHY na wewe uko kwenye kabila la MAFATAKI; Duh kazi kweli kweli inabidi nikamjulishe mwanangu mapema ajitayarishe
 
Re: Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Nathani sio wote, ni tabia ya mtu am sure na makabila mengine wanajisikia, tena sana tu. wakinadada dont let love pass you by just because you are biased. Kama umempenda mhaya Am sure u can over look the fact that sometimes ajisifia. What I know is that they normally praise their wives as well and know how to make them feel like real women (like Bishanga says they know the technology)
 
Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu
Enzi hizo miaka ya 40 iliyopita ilikuwa hivyo, na hii ilikuwa ni mila ya waganda, lakini kuanzia mwaka 1970 wamebadilika na hiyo mila hakuna, wamebaki nayo wajaluo na wakulya
 
wahaya,bwana wanafaa waoeane wenyewe,wanaringa sana hawa,u cant help this,ila wanawake wanaweza kuolewa na makabila mengine,ila watu wengi wanasema hawakamatiki,hapa sio kweli,hata makabila mengine wana nyumba ndogo ,kuna wachagga pia ,nao wakiwa matawi ya juu,wanatakiwa waoe matawi ya juu pia ,amasivyo mke/mume utadharaulika wewewee

My mother muhaya, so I know them, ukweli asilimia kubwa wanajiskia but my friend hata wanyakyusa, wachagga nao mule mule sema wahaya inakuzwa sanaaaaa.
 
Mimi ni mhaya fika. Ni kweli kizazi cha kuanzia baba yako kwenda juu kilikuwa na tatizo moja kubwa: Superiority Complex. Wanyankole huko Uganda bado mpaka sasa wana tatizo la kujiona wako juu ya jamii nyingine hivyo jamii nyigi haziwapendi. na sisi wahaya tuliwahi kuwa kama hawa wenzetu wa Uganda. Kumbuka hapo zamani kidogo kijana wa kihaya ilikuwa sio rahisi kuoa makabila mengine kwa kisingizio kwamba ni "wanyamahanga"! Anyway kidogo kidogo the attitude is now changing for the better. Hang in there do not despair.

Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Enzi hizo miaka ya 40 iliyopita ilikuwa hivyo, na hii ilikuwa ni mila ya waganda, lakini kuanzia mwaka 1970 wamebadilika na hiyo mila hakuna, wamebaki nayo wajaluo na wakulya
We unawajua wakurya wewe/ acha kabisa hakuna mkurya ambaye hajarahiriwa, na si tu kutahiriwa bali kutahiriwa na kisu bila ganzi ndo fahari yao, na kama hujatahiriwa huwezi kuwa mwanaume, utaitwa mwanamke lol. go and read abt them and come here and say this.
 
Hawatahiriwi wale ambao hawajapata exposure ya western that means their culture dictionary does not have the word "circumcision" Hukumbuki wakati wa Juliana iliwala sana kwa sababu ya natural "gloves" kunani? Anyway ni watani wangua hawa niachieni.
Mtoa hoja kasema kuwa tunachunguzwa sana katika mapenzi, kwa nini?, Hapa tunataka jibu lake, sasa haya mambo ya kujiona, kutofanya usafi bafuni, kutahiliwa nk yanatoka wapi?

Kwa sasa wahaya wote wametahiliwa, labda babu wa umri wa miaka 80, Wakulya, wajaluo na baadhi ya waganda ndio hawatahiliwi
 
Mimi ni Mwarabu nilioa mke wa kihaya. Tumeishi na kuzaa watoto mpaka leo yuko na mimi Uarabuni. Na tunapendana mpaka leo.
So.. Usimhukumu mtu mmoja kwa kumjumrisha na kabila au mila. Hii wazungu wanaita "Stereo-type" Huu ni upuuzi. Kila jinsia ya watu utapata wenda wazimu na utapata watu wazuri.. So? what is the issue?
 
wadau acheni hizo,haya ni mambo ya stereotype tu,kama ni arrogance hiyo ni tabia ya mtu binafsi.nafahamu watu wengi wenye nyodo wengine wasukuma,nyakyusa,wahindi....just mention it. Mimi nadhani kikubwa ni wawili ku hit basi,mambo ya makabila hayahusu,afterall nasikia wanaume wa kihaya kwa teknolojia ya ngono ndo wenyewe!

Yes kwa kiasi fulani mambo mengi yanayosemwa kwa makabila fulani ni stereotyping. Mambo kama Wahaya wanajiona, wahaya ni nshomile n.k ni vitu kama vile. Lakini kwa mtizamo wangu haya mambo yanachangiwa kwa kiasi fulani na misunderstanding ya mila na desturi za watu.

Wahaya mara nyingi ni watu wanaopenda mila zao. Uwe unaoa au unaolewa kwa wahaya wanataka mila zao zifuatwe. Kama ni mwaname unataka kuchumbia msichana wa kihaya utaambiwa mtafute mshenga wa kihaya n.k. Mambo haya pengine uwaudhi watu na hivyo kusikia vibaya.

Vile vile wahaya ni watu wa kupenda kuzungumza lugha yao. Pengine si kwa kupenda lakini kwa wengi kiswahili ni lugha ngumu kidogo kwao. Wakikutana wahaya zaidi ya wawili na pakawepo mtu kutoka nje ya kabila hiyo watazungumza kihaya. Jambo hili halileti picha nzuri na mara nyingi watu huwafanya watu kuwa na negative attitude kwa wahaya. Ni kutokana na baadhi ya tabia hizi utasikia kama ni "mhaya mimi basi!"
Lakini ndugu zangu ukishaolewa au kuoa katika kabila hili utashangaa sana jinsi utakavyo fit in. Kwa wahaya what you see is not what you get. Try.
 
alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....


dah,, sijui ni nini kimenileta huku:(
 
hayaz noma dada yangu alipoleta mchumba hm my late father alidhani yule mkwe wake ni mhaya jina lilikuwa km la kihaya kumbe ni muha wa mwisho wa reli, dingi aliishi bihalamuro miaka ya sabini alitupa story za huko dah hazifai hata kuziwekd jamvini anyway yule shemeji yangu km angekuwa mhaya angekosa jiko, kuna dada wa kihaya yupo ofisini kwetu amenunua gari basi kila dakika story ni gari yangu, mpaka kapewa na jina gari yangu, anajiproud huyo
 
Hamjui kutongoza ni ooh home ma dad ana Benz n' he is planin' u know kununua Beemer cc tunaishi uzunguni what da heck is?
Kwani mkijifanya wakawaida hamtapata mademu mmeambiwa? Acheni majigambo njoo huku kwenye ufalme wetu..
 
Back
Top Bottom