Wahaya wakiume wanajidai, madharau na kujikweza, ni vigumu kuifuta tabia hiyo kwa sababu ni genetically inherited, si kitu cha kujifunza baada ya kuzaliwa, ushauri wangu ni kuwa tujifunze kuwavumilia, kwasababu hawafanyi hivyo kwa makusudi.
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
Mimi ni mhaya fika. Ni kweli kizazi cha kuanzia baba yako kwenda juu kilikuwa na tatizo moja kubwa: Superiority Complex. Wanyankole huko Uganda bado mpaka sasa wana tatizo la kujiona wako juu ya jamii nyingine hivyo jamii nyigi haziwapendi. na sisi wahaya tuliwahi kuwa kama hawa wenzetu wa Uganda. Kumbuka hapo zamani kidogo kijana wa kihaya ilikuwa sio rahisi kuoa makabila mengine kwa kisingizio kwamba ni "wanyamahanga"! Binafsi mimi harusi yangu ilisusiwa na ndugu zangu wengi eti nimeoa Songea! Hivyo basi wasichana wa makabila mengi wanalijua hili na ndio maana wengi wao wanakuwa na mashaka kutoka na kijana wa kihaya. Hata kama wewe binafsi unampenda but she is not certain about your family and relatives and that counts alot in a relationship. I dot not regret marrying outside my tribe and my wife is one of the most respected in laws in my family. Anyway kidogo kidogo the attitude is now changing for the better. Hang in there do not despair.
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
mdogo wangu kaolewa na mhaya na nilisahau kumention hii.walikuwa hawaelewni yeye na mme wake mimi pia nilikuwa simpendi shemeji yangu kila kitu dada yangu akifanya yeye anadharau mpaka wakaachana.shemeji yangu alikuwa hawezi kucompromise na mkewe.mimi naona wahaya mcool down kidogo tu coz there is nothing wrong being proud of urselves.
....Nimewahi kusikia kuhusu hii kitu inaitwa katerero/katerelo???? kwenye mapenzi kuwa kama mwanaume wa kabila tofauti akiwa na mpenzi wa kihaya bila ku-practise katerero anaweza kumkimbia ina ukweli??? What's katerero by the way???..
Kingine ni kwamba wanawake wanadai kwamba wanaume wa kihaya wanaweza kukuletea mhaya mwanamke nyumbani na kukwambia ni dada yake kumbe hawana undugu lakini pembeni jamaa anakula uroda. Haya ni kuyasikia sijayathibitisha lakini nimeshiriki sana katika majadiliano kama haya kuhusiana na wahaya makazini na vijiweni pia.
..?????? Which is which??Ni katelelo au katerero???.Son Of Alaska help please!!!Please fafanua hili neno "Katalelo"
that Kiswahili is a bit deep for me
..?????? Which is which??Ni katelelo au katerero???.Son Of Alaska help please!!!
wadau acheni hizo,haya ni mambo ya stereotype tu,kama ni arrogance hiyo ni tabia ya mtu binafsi.nafahamu watu wengi wenye nyodo wengine wasukuma,nyakyusa,wahindi....just mention it. Mimi nadhani kikubwa ni wawili ku hit basi,mambo ya makabila hayahusu,afterall nasikia wanaume wa kihaya kwa teknolojia ya ngono ndo wenyewe!