Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

sijui lakini kama unafahamu what is engineering , usipolitize kila issue lakini ungejua kazi MHANDISI nini ungekaa kimya nisingependa kulalama humu kutoka na shida za nchi hii ila jua TU ENGINEERS wana impact kwenye hii nchi yako

hajui huyu,au anafanya utani hapa?
 
sijui lakini kama unafahamu what is engineering , usipolitize kila issue lakini ungejua kazi MHANDISI nini ungekaa kimya nisingependa kulalama humu kutoka na shida za nchi hii ila jua TU ENGINEERS wana impact kwenye hii nchi yako

Bottom line Tanzania hakuna engineers. Hata mseme wapo milioni 10...ukweli ni kwamba hakuna. Kama wapo nionyeshe kazi zao na matokeo yake. Period.
 
Mpaka hapo nitakapoacha kuona mavumbi, matope, na makazi yaliyo mithili ya dampo ndipo nitakapokubali kuwa kweli wahandisi tunao. La sivyo kama wahandisi wenyewe nao wanasumbuliwa na mgao wa umeme na wanachota maji visimani, ujue wahandisi hatuna.

Tanzania zaidi uijuavyo NN!! Hata wewe utaalamu ulionao ukisema urudi bongo!! utajionea watu wapo kukwamisha kila kitu kwa maslai yao sasa huyo muhandisi atasaidiaje?

Mfano tu kwanye issue ya mgao watu wameangaika kweli na masolution kibao lkn hata zile ambazo walizikubali wanasiasa mwishoni zimeshindwa kutekelezwa. Bongo kupractise uhandisi ngumu sana uwe serikalini hata mashilika ya umma.
 
Kama kawaida....laumu wengine! Kama si mkoloni basi wanasiasa...kama si wanasiasa basi viongozi. Hakuna mtu anayekubali kuwa yeye ni incompetent!
 
Kama kawaida....laumu wengine! Kama si mkoloni basi wanasiasa...kama si wanasiasa basi viongozi. Hakuna mtu anayekubali kuwa yeye ni incompetent!

Engineering kwa ufupi ni kuplan, kudesign na kuimplement!!

Shida kubwa ya TZ ni kwenye implementation ambayo sio muhandisi anaamua!
 
Achilia mbali uwezo wa kujenga vitu vikali kama pesa inapatikana kama daraja la kigamboni, mabarabara ya lani grade ONE na vinginevyo. Je hata ubunifu wa vitu vidogo vidogo ambavyo with time pesa ikipatikana vinaboreshwa kuwa mitambo mikubwa yenye tija kwa taifa lote, hata hivi vidogo dogo vya kusaidia mtu mmoja mmoja au familia, mmeshindwa? Kweli ninaamini kuwa TZ hakuna Wahandisi bali fundi mchundo. Hongereeni fundi mchundo wetu.
 
Engineering kwa ufupi ni kuplan, kudesign na kuimplement!!

Shida kubwa ya TZ ni kwenye implementation ambayo sio muhandisi anaamua!

Haya bana I guess ma engineer tunao. Tuwalaumu wanasiasa!!!!!!!!!!!!!!!

Endeleeni tu kujiaminisha kuwa wapo.
 
jamani punguzeni makali kidogo.hebu fuatilieni kiwanda cha jeshi Mzinga Morogoro wanafanya makubwa tu,kuna jamaa zetu wa Nyumbu Kibaha na magari yao,kuna kampuni nyingi za ujenzi wa barabara zina origination ya nje lakini sehemu kubwa ya wataakam wao ni Watz,kuna zana na software programs zinatengenezwa pale mlimani.Nafikiri tuwaunge mkono kwa kila hali ili tustahili kuwalaumu.Last sabasaba carmatec walikuja na ubunifu wao wa trekta,ungetegemea serikali ihamishie nguvu huko ili badala ya kununua powertiller kwa fedha kichele ya kigeni wazalishe wenyewe na kuyauza vijijini lakin kimya!ten % itatoka wapi ukideel na viwanda vya serikali?
 
Kibarabara cha Bagamoyo sasa hivi kinajengwa na Wajapan....(Konoike).

Selander bridge ilijengwa na Kajima!

Where was Tanzanian engineering?

Sasa wewe unachanganya mainjinia na kampuni za ujenzi. Haoa konoike, kajima nk. ni makampuni na ndani yake yana maijinia wakiwemo wa kibongo.
 
Kweli Tanzania haiwezi kuendelea itakuwa ngumu sa hz maarchitect wakenya kibao kisa wa nje mzuri na maeng mnasema hivyo hivyo embu niambie kenya si kuna maeng je majengo hayaanguki hamna njia za vumbi,ok jengo limeanguka rio jana hamna maeng?wagonjwa hawaendi kwa dokta na si wapo wasiopona wanakufa ina maana hamna madokta?je wanafunzi hawafeli ina maana hamna walimu?acheni kuwawezesha watz wenzenu lieni na foreigner 2,
 
Najua hata mimi ningekuwa Engineer wa TZ kwa haraka haraka ningekuwa nervous, lakini fikiria kabla ya kutuuliza kazi za engineer ni ngapi, tuzitaje na blablaa zake, kwani maana ya neno engineer ni nini??? Je unajisikiaje kusoma na kupitia hizo ngazi hadi ukaitwa engineer harafu hakuna hata mkasi wa nywele wa kutazamia umetengeneza kwa waTZ. Heshima ya mtu inatokana na mchango/huduma yake kwa jamii, Je tuwaheshimu Wahandisi wetu kwa Kufanya kazi za fundi mchundo??????
 
Mimi ningependa kuona matokeo ya kazi za ma engineer wa kibongo....nani anaweza kunionyesha?
 
Tanzania kuna BRAIN DRAIN. Hivi nani aanajuwa yule alietengeneza MARS ROVER alikuwa Mtanzania na amesoma UCD dept of Mathematics. Hiyo ni kabla ya faculty of Engineering kuanzishwa. Walimfrustrate kwenye thesis ya Masters ndiyo akaenda USA. Kule kapokelewa na Masters kapewa pamoja na uraia. Ukishine hapa utakuwa DOOMED. Mengi wanataka kufanya lakini they are being held back. Waki anzisha miradi yao watatafutiwa sababu ama wafilisike au wapate ukichaa. Since mumeanzisha thread bomba na constructive hembu tudiscuss kiundani.
 
Anaitwa nani huyo jamaa?

Na aliitengeneza peke yake?
 
Nimechoka Nyani Ngabu,mbona zipo nyingi mno mnajua hata kampuni chache cha engineering embu waambie wakupe company profile,tatizo lenu si maeng wala hamuwajui maeng ndio maana wabishi halafu mi si mwalimu kwa hyo kuwavumilia nachoka, ndio maana nakiri jf imenifundisha uvumilivu katika maisha,
 
Wacha longolongo bana...wewe nionyeshe kazi za hao ma engineer wenu tuzipitishe kwenye tanuru tuone kama zinafikia viwango!
 
Back
Top Bottom