Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,609
umejuaje hawapo embu taja kazi za wahandisi wa aina japo 2,
Nimejuaje hawapo? Hivi unahitaji kujua nini kuwa hawapo ilhali una macho na unaona? Kila nikiangaza macho yangu Tanzania nzima sioni chochote cha maana walichokifanya.
Sana sana naona mivumbi, matope, vijumba vya udongo, mitaro utadhani mahandaki, maji yasiyotoka mabombani, umeme wa shida, makazi ya watu utadhani madampo.....niendelee?