MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Jana mchana nikiwa katika kazi zangu hapa Zanzibar niliingia ofisi moja ya Serikali.... kwa mbali nilisikia wanajadili jinsi ya kutafuta dawa/sumu ambayo inaweza ikamwaga au kupuliziwa kwenye chupa hasa za Bia, QUOTE]
Kwa mtu anayefikiri kwa kichwa, hilo haliwezekani kwa sababu, kama ungesikia maneno hayo toka kwa mhudumu wa bar, watu wangepaswa kuwa na tahadhari, lakini mfanyakazi wa serikali atafanyaje fanyaje mpaka aende bar akapulize sumu kwaenye chupa za bia? Sikatai unaweza kumsikia yeyote toka popote, lakini mazingira hayamwezeshi mtu kutenda lolote popote.
Ni akili za kitoto sawa na mtoto kutaka kudungua ndege kwa manati. Tukiambiwa tujiambie, na tukisikia tupime.