Wageni mnaoingia Zanzibar kuweni makini na hili...

Unafiki tu. Mbona kodi wanatoza wenye biashara za bar?
Huko uarabuni kwenyewe, dubai, kuna mabango dont drink and drive. Hawa walioiga dini za watu wanajifanya wanajua zaidi!
Kama wanaweza wapige marufuku zisiingie kabisa kwao, wabakie wenyewe na starehe zao za kifirauni
 
Jana mchana nikiwa katika kazi zangu hapa Zanzibar niliingia ofisi moja ya Serikali.... kwa mbali nilisikia wanajadili jinsi ya kutafuta dawa/sumu ambayo inaweza ikamwaga au kupuliziwa kwenye chupa hasa za Bia, naandika hapa nikiwasihi ndugu na wapendwa mnaotumia kinywaji chenye kileo muwe makini, nawaomba na kuwatahadharisha mkiingia hapa visiwani msikubali kunywa bia glass hii ni kwa usalama wa afya na maisha yenu.. maana hawa jamaa baada ya kujaribu zoezi la kuteketeza Bar moto kushindwa kufanikiwa wanataka kuja na mbinu hii nyingine na hii itawadhuru na kuwaathiri watu wengi endapo itafanikiwa....
nawasalisha...

Wazenji akili zao fupi kama sarawili wanazo vaa.
Bia ndo inaongoza kwa kulipa kodi hapa nchini iwe bara au zenji kwenyewe wao wanachoma bar.
Au wanafikiri dagaa wanao vua ndo wanawaongezea pato?
 
Hama kweli wahenga walinena "ukitaka kujua nguvu ya mlevi mwaga ulabu wake" mmeguswa kidogo tu macho yamewatoka je ikipigwa marufuku ? Si mtaua nyie pombe sio
 
kwani pombe na ushoga kipi bora nyie mnao toka znz???????
 
Wazenji akili zao fupi kama sarawili wanazo vaa.
Bia ndo inaongoza kwa kulipa kodi hapa nchini iwe bara au zenji kwenyewe wao wanachoma bar.
Au wanafikiri dagaa wanao vua ndo wanawaongezea pato?

Halafu munasubiri maendeleo wakati munajisifu kwamba ulevi ndiyo unaoingiza kodi kubwa nchini? Kha wenye akili fupi ni nani sasa, nyiny munaojisifu kuwa taifa la walevi au...... Hata hao wazungu wenyewe walio na viwanda vya kila aina ya ulevi hawalewi kama nyinyi limbukeni.

Na kwa nini mumejaza matangazo ya ulevi ni noma mungeendelea kushabikia tu na kuzidi kuongeza kulipa kodi.
 
Kama serikali mliyo iweka madarakani nyie vichwa maji inakazana kupandisha kodi kwenye pombe na kuacha madini yakifukuliwa kwa juhudi zote unategemea nini? Migodi ya madini imezidiwa na Chibuku kulipa kodi. Mi najisikia fahari JK na Shein wanazurula nchi za watu kwa kunywa kwangu pombe nikiacha kunywa uchumi utayumba wa nchi.
 
unatumia kiraji gani mkuu?
 
Halafu munasubiri maendeleo wakati munajisifu kwamba ulevi ndiyo unaoingiza kodi kubwa nchini? Kha wenye akili fupi ni nani sasa, nyiny munaojisifu kuwa taifa la walevi au...... Hata hao wazungu wenyewe walio na viwanda vya kila aina ya ulevi hawalewi kama nyinyi limbukeni.

Na kwa nini mumejaza matangazo ya ulevi ni noma mungeendelea kushabikia tu na kuzidi kuongeza kulipa kodi.

Mmmmmhhhh...
 
wakuu mpaka sasa nipo hapa CCM Bar raia kibao wa kizenji wanakata lager na wacheza live band ya muziki wa dansi hivi wakianza kuweka hizo sumu kwenye midomo ya chupa maafa siyatakuwa makubwa kuliko ya MV SPICE ISLANDER??????
 
Back
Top Bottom