Throwback: Lissu akitoa nyongo bungeni kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tumsikilize kwa makini

Ni ukweli mchungu, Zanzibar ni koloni la Tanganyika lkn awamu huu Tanganyika inakamuliwa maziwa yanapelekwa Zanzibar
Haaaaaah lissu anasema "Zanzibar haijawahi kuridhia muungano mpaka keshokutwa"

Tanganyika ilijipendekeza sehemu isiyotakiwa kibano kimegeuka watu wameanza kuona uchungu.
 
Hii hapa video chini ya Tundu Lissu akitapika nyongo bungeni kuhusu uhalali wa muungano uchwara wa Tanganyika na Zanzibar tumsikilize kwa makini hapa.
View attachment 2809870
Kaongea point sana...

Tanganyika inapaswa kuwa na serikali yake. Alafu iwepo serikali ya shirikisho la Serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar, ambayo shirikisho hilo litakuwa Tanzania

Tanganyika tuna stahili kuwa na serikali yetu, alafu kuwepo na serikali ya Zanzibar na serikali kuu za Tanzania
 
Tundu anaeleweka sana!

Kama ulienda mara ya mwisho Zanzibar 2021 ukienda Sasa 2023 utapotea. Barabara zinavyopanuliwa, mafry over! yaani Zanzibar imenoga. Hongereni wazanzibar. Tuulinde muungano wetu.
 
Tundu anaeleweka sana!!
Kama ulienda mara ya mwisho Zanzibar 2021 ukienda Sasa 2023 utapotea. Barabara zinavyopanuliwa, mafry over! yaani Zanzibar imenoga. Hongereni wazanzibar. Tuulinde muungano wetu.
Ila ni kwa gharama ya Tanganyika a.k.a shamba la Bibi
 
Sijawahi kumuelewa Lisu kwenye masuala mengi sana.
Wakati sheria ya Natural wealthy inatungwa mwaka 2017,kwa mfano,Lisu alipinga sana.Lakini juzi kwenye sakata la DPW alitumia hizo kujengea hoja.
 
Sijawahi kumuelewa Lisu kwenye masuala mengi sana.
Wakati sheria ya Natural wealthy inatungwa mwaka 2017,kwa mfano,Lisu alipinga sana.Lakini juzi kwenye sakata la DPW alitumia hizo kujengea hoja.

..Na 2017 Ccm waliunga mkono sheria hiyo, lakini wakati wa Dpw wameitupa mkono.

..Lissu hakupinga sheria ya natural wealthy. Alichopinga ni kuvunja mikataba na kuwadanganya wananchi kuwa hakutakuwa na madhara yoyote.

..Lissu alionya na alielekeza nanna ya kuvunja mikataba na kuepuka kuburuzwa ktk mahakama za kimataifa.
 
Back
Top Bottom