Je ni CCM ndo wnaua viwanda au ni baba, mama, kaka, dada, wajomba, shangazi na wadogo zetu na watanzania wenzetu ndo wanaovifisadi hivyo viwanda.ccm itawapa ajira!tangu uhuru viwanda vingapi vimekufa?vyama vya ushirika?reli,ndege,bandari etc mashamba makubwa kahawa ngano katani yani list inatisha eti tunasheherekea uhuru