Wafanyakazi zaidi ya 400 wapoteza ajira

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Zaidi ya mia nne ya walio kuwa wafanyakazi wa kiwanda cha nyuzi kilichoko mkoani Tabora wamepoteza ajira zao..

source: tbc1
 
ccm itawapa ajira!tangu uhuru viwanda vingapi vimekufa?vyama vya ushirika?reli,ndege,bandari etc mashamba makubwa kahawa ngano katani yani list inatisha eti tunasheherekea uhuru
 
ccm itawapa ajira!tangu uhuru viwanda vingapi vimekufa?vyama vya ushirika?reli,ndege,bandari etc mashamba makubwa kahawa ngano katani yani list inatisha eti tunasheherekea uhuru
Je ni CCM ndo wnaua viwanda au ni baba, mama, kaka, dada, wajomba, shangazi na wadogo zetu na watanzania wenzetu ndo wanaovifisadi hivyo viwanda.
 
kiwanda bila umeme kitafanya kazi?nani anayepanga sera kufanya gharama za uzalishaji hapa nchini kuwa kubwa kuliko kuagiza bidhaa toka brazil?kaangalie daladala pale kioo cha mbele kuna stika ngapi na zinagharimu kiasi gani?uchumi unatumikia siasa ndio sera ya ccm
 
Nitajie kiwanda cha uma kilichofanikiwa hapa - wote ni wizi kuanzia maeneja mkuu mpaka mlinzi. kujenga viwanda si kazi ya serikali, kazi ya serikali ni uongozi, ukusanyaji kodi na pangilio wa maendeleo.
 
duh mjomba wangu Marketing Manger sijui kama kapona - wacha nimpigie simu aje huku tuhangaike pamoja.

Viwanda vyote ambavyo baba wa Taifa alivianshiza sijui kama kitaki hata kimoja, achilia mbali Mashirika ya Umma yote wametafunwa na mengine taabani ( ATC, TRC)

VIVA Tanzania - kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake - ikiwa fupi andika wafwaaa....

Kidumu Chama Chetu.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom