Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
d8ff9ffd-88e6-4a67-8c7b-1da5916aa88e.jpeg

da631166-528a-4ee0-94fb-52186fed221a.jpeg
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.

Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.

Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
5ba51874-92d9-4102-91ca-5dcca1110669.jpeg

IMG-20240106-WA0039.jpg

IMG-20240106-WA0042.jpg

IMG-20240106-WA0043.jpg
 
Aseee hii nchi hatari sana!

Kuna mshkaji ashawahi niambia kuwa mfano kama kazi inabidi iwe na vbarua 200 wanapunguza wafanyakazi wafike hata 100.

Halafu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na watu wawili anapewa mtu mmoja katika wale waliobaki kureplace nafasi.

Pesa zinazobaki zinapigwa, hivyo wafanyakazi wanafanya kazi kubwa kwa muda mrefu na ngumu ujira ukiwa finyu.

Haya yana ukweli?
Ndugu zangu?
 
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.

Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.

Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
View attachment 2863517
Hao waturuki wanamalizia pesa kwenye kitimoto na watoto wa kike pale itigi n hatari sana
 
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.

Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.

Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
View attachment 2863517
Kazi kweli kweli.Huyu mkandarasi wa mchongo Yarpi Merkez si afunuzwe?

Nilimsikia Mwigulu akisema inauma Sana jnamlipa contractor pesa Kwa Dola ambazo ni mabilioni harafu hawalipi wafanyakazi Watanzania na Wakandarasi.

Kwa hiyo akashauri utaratibu ubadilishwe kuona namna ya kulinda maslahi ya ndani na sio ya Wakandarasi waliofikiaika wao wanaenda kulipa hela kwao huko.
 
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.

Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.

Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
View attachment 2863517
Dodoma ofisi ya HR anaulizwa unalipa lini ela za mishahara anajibu tena kwa kujiamini maybe Monday kweli ni sawa wangetoa taarifa mapema kua mshahara wa mwezi wa 12 utachelewa watu wasingekua na hamaki kuliko kukaa kimya mpaka siku yakutoa mshahara na siku kuongezeka YAP inakoendea imeshashindwa kumaliza mradi
 
Back
Top Bottom