Wadau wa mmu jamii forums ushauri kwa irene uwoya

unajua mi namlaumu sana shigongo na hivi vigazeti vyake vya udaku... watu wanaweza wakawa wanaumiza vichwa kumbe usikute hiyo stori imetengenezwa tuu ili wauze magazeti..... hakuna cha wameachana na wamerudiana...
 
unajua mi namlaumu sana shigongo na hivi vigazeti vyake vya udaku... watu wanaweza wakawa wanaumiza vichwa kumbe usikute hiyo stori imetengenezwa tuu ili wauze magazeti..... hakuna cha wameachana na wamerudiana...
au kweli sales approach ya global publisher? so wanampa dau au?
 
Tatizo la Irene ni hapo kwenye RED
Irene Uwoya


Lives in Nicosia, CyprusKnows American English, KiSwahili Born on December 18, 1989


249808_160868680647464_100001730004954_333815_4864256_n.jpg
 
Wewe huoni kama ndio unatuletea udaku hapa gazetini? hujui kama alikuwa anaanda clip ya movie yake mpya aone nyinyi wapenda udaku mtaipokeaje!
Au umeshasahau kama Wema Sepetu na Diamond huwa wanaachana siku 2 na siku 3 wanarudiana? kwa kifupi hawa wote akili zao ni shake well before use, half empty glass.
Matola u made me lol on the bolded phrase......

Tuongeza na ...'weka mbali na watoto'
 
au kweli sales approach ya global publisher? so wanampa dau au?
Smile unajihangaisha bure kujiuliza maswali yasiyokuhusu, wampe dau wasimpe wewe inakuhusu nini? Aachane na mumewe au arudiane nae pia haikuhusu mpendwa, maisha yenyewe haya utafuatilia ya wangapi? Ya ngoswe, mwachie ngoswe!
 
mi nafikiri binti akili zitakuwa zimeruka,huwezi kuachana na mtu hata kama amekuudhi unaanza kutoa siri zenu ya ndani?na siamini kama kweli alikuwa hampendi,kama hakumpenda huo muda walioishi ni mrefu sana je humo ndani kulikuwa kunakalika kweli?hizo chikeni party sorry kitcheni party huwa wanafundishwa nini hasa?maana hata siri ya ndani inakushinda kutunza sasa si ndo unakaribisha mashoga wakuibie mume?jamaa naye ana roho ya paka,maana udhalilishwaji aliofanyiwa bado yumo tu,mi naona hapo ni bora akili ya kuambiwa uchanganye na ya kwako.
 
tayari wamerudiana na maisha yanaendelea kama kawaa na gazeti la udaku ndio mpatanishi mkuu na ndio waliotangaza kutalakiana hapa ni usanii katka jumba la sana jamaa kakolea na mtt wa kibongo na huyu dada anajiona mzuri sana akumbuke kuwa walikuwepo wakina clepatraa

:poa:spy: :focus:
 
magazeti wanafki tu rudia hesabu za kutoa na kujumlisha umekurupuka miez 18 ni mwaka mmoja na nusu!.mwanamke ukishamlala awe ananipenda asinipende kwisha habari yake WAPO WENGI .
Swadakta!!Kushney kabisa,tunaswitch kwa mwingine!Belivdat
 
This is unacceptable. There are three types of women

1). Intelligent ones (COE, Ministers, principla secretaries, University dons, and e.t.c)
2) Secretaries
3) Housegirls...

Which category are you refering??. Some of those in category one can do far better than you. Most men know that and you do not need a university degree.

yep, wapo baadhi.
 
Smile bibi naimani hujambo naomba uchanenae huyo dem chizi hamnamo kichani. hivi vipi ule mpango wako wakuwekwa nyumba ndogo umefikia wapi. kama hujawekwa speya tairi nilikwambia mimi ntakuweka nyumba kubwa nimekuzimikia mbona hunielewi jamni Dina nisaidie huyo mtoto hanielewi jamni naumia mimi

mimi sio mdau wa mambo ya udaku kiviile ila katika mishe mishe zangu nilikutana na habari kwamba irene uwoya ameachana na mume wake katika sababu zake alisema hv;kwanza sijawahi kumpenda Ndikumana kabla sijafunga naye ndoa na hata baada ya kufunga. akaendelea tena kusema ile ndoa kama nililazimishwa lakini sikuwa na mapenzi ya dhati Hata hivyo, nimejitahidi sana kuishi naye miaka miwili na nusu! (Miezi 18) ila taarifa zinasema wamerudianahebu jamani tupeni ushauri huyu mwanamke je izo ni kauli nzuri kusema pale unapokuwa una matatizo na mwenza wako ndani?hata kama wamerudiana kwa kauli hzo za huyo mdada huyo mumewe ataweza kumpenda tena au atakuwa anajisikiaje
 
Back
Top Bottom