Wadau wa mmu jamii forums ushauri kwa irene uwoya

Mie huwa nasema miachana na mtu matusi ya nini sasa??
Hiyio ilikuwa siri yake kuwa hampendi mumewe na tena akaenda kufunga nae ndoa na
dini akambadili??

Huyo mdada akili yake si nzuri kwa mtu mzima aliyekomaa kiakili
hawezi kutamka ujinga kama huo tena kwenye vyombo vya habari

Kimsingi anajidhaliliisha yeye anaona yuko sawa hajui watu watamcheka??


ni kweli kabisa

1. akiwa mchumba , hampendi lakini anaendelea
2. kwenye ndoa ambako alipewa semina na hata akaulizwa mara tatu, alikubali akiwa hampendi, hataki kumwacha
3. akakubali kubeba mimba bado hampendi, lakini hamwachi
4. amezaa nae sasa ndo anasema hampendi anamwacha, eti kuna anaempenda.

ni kweli huyu binti hana akili, au anatatizo lingine kubwa. hivi kama hampendi kwanini afunge ndoa, kwanini azae nae?. lakini mimi nadhani wengine wajifunze kwake.Irene hafikirii kuwa kuna uzee, anadhani atakuwa vile alivyo siku zote. wazazi wake wangefanya afanyavyo yeye asingependeza hivyo
mwisho nakubaliana na wewe, kuwa hii tabia ya kutukanana wakati wa kuachana inhaina faida , huu siyo ustaarabu. binafsi ninaweza kukosana na mwenzangu, lakini as long as alikuwa ni mwandani wangu kamwe siwezi kumdhalilisha kwa watu, haijalishi alinitenda nini. kama nina cha kusema nitamwambia yeye. kumvua nguo uliyeshiriki nae mambo makuu ni kujidhalilisha mwenyewe
 
Kauli mbaya sana hizo ingawa zinawezekana ni za ukweli mtupu. Wadada tuwe makini tunapofanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
 
Yawezekana ni ukweli, but ustaarabu ni kitu cha bure na ni cha msingi kabisa!!! Mambo mengine yanapotezaga trust even to the third party, yawezekana na huyo mwingine anaejidai kuwa ampenda, ikawa ndo kwanza amchoresha tu!
 
Hata kama alikuwa anataka kutafuta attention through magazeti kwa maana ya kwamba alidanganya umma; bado statement yake imempunguzia heshima. Ni sawa na mtu atangaze kuwa yeye gay au ni muathirika kumbe ni uongo. Hiyo gharama kuubwa sana kwa sababu tu ya popularity.

Huwezi kutoa statement za kashfa kwa mumeo afu eti baadae useme I was kidding. Mh! Mnyamulenge mulika mwizi!
 
Kauli mbaya sana hizo ingawa zinawezekana ni za ukweli mtupu. Wadada tuwe makini tunapofanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Wengine hupenda kuingia na kuwabania nafasi wenzao walio serious na ndoa, nini maana yake kuolewa na mtu usiempenda kama si kuzibia wenzio tu mwehu yule.
 
Huo ni utamaduni gani Africa hii mwanaume kukaa kwa wakwe, acha atukanwe tu na yeye, sijui mwanaume unaishije na wakwe mh mambo hayo.
 
Ha haa haaa, tutasutwa na kanga ndembe ndembe hawana bei ukiwakodi.


Hapana you got it wrong. Nadhani tujue tofauti yetu kama sisi wa JF na shigongo. Kazi kubwa ya shigongo ni ku report news, kama zilivyo na kuongeza chumvi kidogo! Kwa maneno mengine, reporting events, like any other reporter.

Sisi wana JF, kama kweli tunakubali kwamba we are the great thinkers, we have to go one step ahead... to analyze what is reported/happened. If we will succeed, then tutakuwa na tofauti kubwa sana na Shigongo. We have to show the society what is wrong and why this is wrong! This is what we are doing here, and not reporting events as they are like Shigongo. We want this the so called celebrity ( I am not sure if she is) not to go against the society's morals...........

The other day Irene claimed that her annual income is about 40,000,000 Tshs and at the same time, she was wearing a shoes worth 900,000!! I thought, My God,what is this? How come? is it possible? Lazima kuna kimoja kati ya hivyo viwili hakiko sawa, tumepigwa mchanga wa macho!

This is what makes us different from cheap newspapers like Kiu, Ijumaa and Shigongo Himself..


 
Mie huwa nasema miachana na mtu matusi ya nini sasa??
Hiyio ilikuwa siri yake kuwa hampendi mumewe na tena akaenda kufunga nae ndoa na
dini akambadili??

Huyo mdada akili yake si nzuri kwa mtu mzima aliyekomaa kiakili
hawezi kutamka ujinga kama huo tena kwenye vyombo vya habari

Kimsingi anajidhaliliisha yeye anaona yuko sawa hajui watu watamcheka??

Kama ni kweli hayo kayaongea, na bado Ndikumana akaamua kumrejea basi nitakayemcheka mimi si huyo Irene bali ni huyo Ndikumana anayeonekana ni limbukeni wa wanawake mastaa!!! Unajua kule Rwanda Irene Uwoya ni bonge la staa, na kutokana na ujinga wake, Ndikumana anaona sifa kuwa na Irene Uwoya!!
 
Huyo mwanamke hana akili sawa2 maana mi mwenyewe nilishaona mahojihano yake na chombo kimoja cha habar akawa anaelezea jinc alivyovotiwa na jamaa alivyo yaan kama kumsifia alianzia chini juu mpaka akagucia mayenu anavyoyaweza sasa namshangaa mara hii kumshusha kwa yale yote aliyokwisha msifia hivi wanajf huyu atakuwa mzima au ndo hivo akafanyiwe checkup ya akili
 
Kwani kasema anaomba ushauri?

Mi nadhani ana familia yake,ndugu zake na watu wake wa karibu wote wanamshauri anapohitaji,halafu pia yeye ni mtu mzima tambua.
 
Back
Top Bottom