She is Irene Uwoya/uyowa...llolWho is Irene Uwoya?
MMh ukishamlala, ndio unagundua utamu wake, unafananisha na unakotoka, unajua unachohitaki, then umekipata.
Kama unavyosema ni kweli, wanaume wasingeng'ang'ania vimada hadi wanawajengea nyumba? kwani muda wote huo anakuwa hajamlala?? Sizitaki mbichi hizi
Wewe huoni kama ndio unatuletea udaku hapa gazetini? hujui kama alikuwa anaanda clip ya movie yake mpya aone nyinyi wapenda udaku mtaipokeaje!nashindwa kuelewa watakuwa wanaishije tena humo ndani na mumewe jamani loh? mdomo huu ????????/
Hebu nielekeze hiyo thread aliyotukana nimlime BAN!mmmh kilaza flani hvi ametuzalilisha sana wanawake bwana kugombana na mume tu kidogo katema poison kubwa sana sijui itakuwaje bwana
Ni member wa JF?She is Irene Uwoya/uyowa...llol
Wanawake ndio walivyo Akili ndogo.. Kutoa kauli bila kufikiria.
Ni Celeb?She is Irene Uwoya/uyowa...llol
uwo ni uoga wa fkira kumnyenyekea mwanamke ambae unajua akupend kwa dhati.ndo maana watu wanaonga nyumb magar na bado wanaumizwa na wanawake ambao sio faithfull.
Hommie unataka kumkabidhi kadi ya uanachama?Ni member wa JF?
tukitoa ushauri hapa utamfikia?
Kwanini likusumbue hili besti?nashindwa kuelewa watakuwa wanaishije tena humo ndani na mumewe jamani loh? mdomo huu ????????/
Wewe huoni kama ndio unatuletea udaku hapa gazetini? hujui kama alikuwa anaanda clip ya movie yake mpya aone nyinyi wapenda udaku mtaipokeaje!
Au umeshasahau kama Wema Sepetu na Diamond huwa wanaachana siku 2 na siku 3 wanarudiana? kwa kifupi hawa wote akili zao ni shake well before use, half empty glass.
Mwenyekiti kanikaimisha madaraka yake.....Hommie unataka kumkabidhi kadi ya uanachama?
Sijaongelea wanaume wanaohonga nyumba na magari kwa wanawake wasiowapenda.... nazungumzia reality, si tunawaona bwana