Wadau nimtafune?!

inaelekea humtaki ndo maana unaomba ushauri ungekuwa unamtaka ungesha tafuna zamani
 
Tengeneza CV man kwani inaelekea wamehadithiana!!usichelewe wanaokushauri ukapime ngoma waulize wao wamepima??:cheer2::peace::A S crown-2:
 
Sokomoko,

Inaonekana dhamira yako haikubaliani na tamaa inayowaka mwilini mwako. Hali kama hiyo mara nyingi hupelekea majuto makubwa sana hasa vitu vikienda vibaya kama vile ukipata gonjwa la zinaa. Ni vema ukafanya kitu kwa dhamira na si tamaa ya muda mfupi. Ushauri wangu ni kuwa ni bora usimtafune huyo dada maana faida za kufanya hivyo ni chache kuliko hasara hasa ukizingatia huna mapenzi nae tena. Alternatively, kaa chini tafakari na usikiliza nafsi yako inakwambia nini nauhakika itakukataza tu!

Mkuu deodat habari zakuambukizwa??inamaana wewe hutumiikinga??Nimekusoma tuendelee na mada!!:A S 13:
 
kamua baba kama alibana sasa ni wakati wako,na ikiwezekana piga cha-uani inaweza kuleta heshima kidogo,coz inaonyesha hana mapenzi ya dhati kwako
 
Azniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Binafsi ushirikiano wangu ktk hili ungekuwa mzuri zaidi iwapo ungeomba ushauri kabla tendo ambalo limemfanya huyo dada akusifie halijafanyika. Hii ni sawa na kusema kwamba UMEUA HALAFU UNATAFUTA USHAURI, utapata ushauri lakini marehemu hatafufuka. NENDA NA UZIMA WAKO, WALA USITHUBUTU KUTENDA TENA DHAMBI.
 
kama ushasulubu dada mtu kwa ushetwani wako... wamringia nini aloomba masaji... ?!!
 
Kiufupi fuata fikra zako! Bt waungwana naona wanakusihi ukapime pia ni ushauri mzuri sana but "Nikuulize ULIMENYA au ULIKULA na GANDA LAKE? if is that go ahead ANGAZAA!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom