Wadau nimtafune?!

Kamua kaka tena ikiwezekana piga gaga, ha ha ha ha ha.

Angali usije ukafa vibaya, bado tunakupenda. Mungu kakuepusha kwa miaka kibao sasa unataka kujimaliza mwenyewe. Kak achana naye
 
sioni swali sasa wewe unauliza pilau siku ya harusi kwanini usijipakulie halafu ndo uje utueleze kama vilikuwa vya barid au moto
 
Sokomoko,

Inaonekana dhamira yako haikubaliani na tamaa inayowaka mwilini mwako. Hali kama hiyo mara nyingi hupelekea majuto makubwa sana hasa vitu vikienda vibaya kama vile ukipata gonjwa la zinaa. Ni vema ukafanya kitu kwa dhamira na si tamaa ya muda mfupi. Ushauri wangu ni kuwa ni bora usimtafune huyo dada maana faida za kufanya hivyo ni chache kuliko hasara hasa ukizingatia huna mapenzi nae tena. Alternatively, kaa chini tafakari na usikiliza nafsi yako inakwambia nini nauhakika itakukataza tu!
good one:tonguez:
 
sasa ushafanya matusi tayari,hebu tushauri cha kukushauri bana, mi ubongo umejamu
 
sasa kama humpendi umtafune ya nini?
mtu mwingine atakwambia mtafune mwingine atasema usimtafune.
ila uamuzi wako utategemea na tabia zako?
 
asikwambie mtu ukifanya ngono baada ya masaji ni tamu sana. unaweza ukamwaga kikombe cha chai kikajaa!
 
Alikuwa demu wangu tangu msingi na kwa bahati nzuri tukachaguliwa shule ya serikali pamoja kwenda kidato kimoja. Nimesoma nae darasa moja kwanzia form 1 mpaka 4 na wakati ule tupo shule sikuwahi kum***** wakati tupo form 3 niliachana nae maana nilikuwa nasikia tetesi kunawatu wanakamua ila mie nikiomba mzigo ananiambia mpaka tukioana. Tumemaliza shule yapata miaka kumi na ushee sasa na tumekuwa na mawasiliano. Kama wiki mbili zilizopita dada yake aliingia kwenye kumi na nane zangu sikumwachia na alidiriki kunisifia kuwa mimi naweza. Ni juzi jumamosi alinitumia msg akisema anahamu nimfanyie massage na mie nikamwambia poa haina kwere. Nilipomuuliza angependa nimfanyie lini alisema leo leo lakini yupo kwenye pm na kupendekeza bora tufanye siku ya birthday yake ili iwe zawadi kwake. Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.

We mtafune tu si dhambi zako mwenyewe.
 
Endeleza ukware wako, leo umebandika bango ukishaukwaa ukimwi urudi tena kuweka bango lingine, usijeleta story za ooo nina kisukari sijui kansa mara BP.
 
ooh Gosh kumbe ushakula dada yake ..
Huyu nae si kwamba anahitaji massage kuna kitu anataka ..Lakini naona kama na wewe hujatulia vile.
 
Alikuwa demu wangu tangu msingi na kwa bahati nzuri tukachaguliwa shule ya serikali pamoja kwenda kidato kimoja. Nimesoma nae darasa moja kwanzia form 1 mpaka 4 na wakati ule tupo shule sikuwahi kum***** wakati tupo form 3 niliachana nae maana nilikuwa nasikia tetesi kunawatu wanakamua ila mie nikiomba mzigo ananiambia mpaka tukioana. Tumemaliza shule yapata miaka kumi na ushee sasa na tumekuwa na mawasiliano. Kama wiki mbili zilizopita dada yake aliingia kwenye kumi na nane zangu sikumwachia na alidiriki kunisifia kuwa mimi naweza. Ni juzi jumamosi alinitumia msg akisema anahamu nimfanyie massage na mie nikamwambia poa haina kwere. Nilipomuuliza angependa nimfanyie lini alisema leo leo lakini yupo kwenye pm na kupendekeza bora tufanye siku ya birthday yake ili iwe zawadi kwake. Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.

Pheww!!!!!! Katika harakati za kuomba ushauri naona tayari umeishajishauri wewe mwenyewe.
 
unajua kiongozi mambo mengine ni binafsi sana,basi hata ikitokea siku nyingine unajiuliza jinsi ya kumtafuna mkeo njoo tena jukwaani tukushauri!hayo ni maamuzi yako binafsi kutegemeana na dhamira yako inavyokutuma!Hata nikisema tafuna, na mwingine akisema usitafune sidhani kama itakusaidia kitu!Tafuta mke uoe kijana!
 
HA HA HA HA Mpwa bwana umeniacha hoi asubuhi asubuhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom