MI NADHANI KATIKA MALIO YA MADAI HAYA ITUMIKE FOMULA YA ...FIFO.....na sio LIFO bravo UVCCM NAUNGA MKONO HOJA YA UVCCM
unanikumbusha machungu ya mabango, wacha tulipe tuu si ndo ujinga tulioupenda.hivi nyie mnajua mabango yaliyosambazwa nchi nzima kipindi cha campaign yalikigharimu chama bilioni ngapi?
Walipe za kwako kama unazo.Nimechoka na dowans naona wawalipe tuu!
Hilo ndilo kaburi la ccm na serikali yake
ya kifisadi .
"Hili halitakuwa jambo la kusubiri hata hukumu..., moto huu utawaka wakati wowote. Namtahadharisha Jakaya Kikwete (Rais), asichezee kabisa na moto huu mimi mwenyewe ambaye sifi kwa risasi nitakuwa mbele," alionya Mtikila ambaye ameibuka baada ya kimya cha muda mrefu.
Khaaa! Inatakiwa hii hoja iende walipwe wasilipwe. Huyu JMK nchi imeshamshinda wamwondoe tuuKutokana na tamko hilo, kundi la wabunge wa upinzani ambao si sehemu ya upinzani rasmi, limeibuka na kuazimia kwamba sasa wanakusudia kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na Serikali kama kweli fedha hizo zitalipwa.