Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Mmhhh sasa ndo unanikaribisha au ndo nini???
Yeah, umenifurahisha na ka heshima kako, huwa tunajibu hivi, marahabaaa mambo?
Mmhhh sasa ndo unanikaribisha au ndo nini???
Mcsahau nail cutter
hone:hone:
Hii kwangu ni mpya.......kazi yake ??na toothpicks
Yeah, umenifurahisha na ka heshima kako, huwa tunajibu hivi, marahabaaa mambo?
Bishanga usinichekeshe......... kwani mobile phones lazima ziwekwe kwa pochi jamani?? wengine twaweka kwenye manyoyo ahjamani mwee hata kama hayatuhusu potelea mbali ngoja niwaulize hizo pochi mbona hamtwambii kuwa huwa mnaweka na mobile phones? na wakati mwingine mnaweka vitu flan flan vya kutufanya tuwapende zaidi?
Hahahshhah nilikosa
Pakuanzia nikaona salamu kwanza hahahah lol
Sasa nami nakujibu...POA VIPI HALI?
Mi chichemi bana msije mkanifinyanga korodani namii bado nazaa! By the way (nje ya mada) kwa nini wadada kibao mjini wana chale mbili ndogo kifuani? au hilo nalo MJ1 hujali notice?Bishanga usinichekeshe......... kwani mobile phones lazima ziwekwe kwa pochi jamani?? wengine twaweka kwenye manyoyo ah
Hivyo vya kukufamnya umpende zaidi si ndo vyafumu na vipodozi vingine au?
Hii kwangu ni mpya.......kazi yake ??
Imetulia mi Niko poa, napitia mapochopocho yenu kwa mikoba, ina nifurahisha sana! Ila mimi kwenye gari sikosi Panga na bisibisi
ah ah ah mi sijambo kabisa love duh begi?yani kambi popote?ah ah ah uko juu ma,miss ur sauti tena
Hahahshhah
Hata si semi nabeba nini
Maanake mmmhh all i can say
inani chukua kama dakika15 hivi ku pac kila kitu mmmhh
sasa wajua niko wapi nikimaliza huu mchamchaka ntakupigia basi nisikie tena hiyo sauti ya maringo madoido na kuvutia hahahahahahahah lol..
Hahahahahahahah lol
Usiseme kwa nguvu atarudi huku
hahahahahahahah lol..
owkey am keeping it down low shhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Na huu je??Kuna huu wimbo unajua nani kauwimba?
NI bp baby,nimekumiss sana honey
ni bp baby, mi nataka kwenda hewani
Wimbo mzuri sana ila sijui nani kauwimba..
Wa siku nyingi kidogo..
Jamani jamani na upenda huo wimbo..Na huu je??
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
Mi chichemi bana msije mkanifinyanga korodani namii bado nazaa! By the way (nje ya mada) kwa nini wadada kibao mjini wana chale mbili ndogo kifuani? au hilo nalo MJ1 hujali notice?
Hivi wewe hauna chale, dah sorry niliona vibaya ile ni tatoo nimefananishaeeeeh chale?makubwa haya ngoja nianze kuchunguza pipo here
Nipigie mpenzi nipigieJamani jamani na upenda huo wimbo..
Ntakupigia sasa hivi.. haha lol
Haahaah angalia usipofuke
maana kuna ma lovee davee kwenye hizo handbag s hahah..
Sasa panga la nini dear unavituko wewe aaa
Hivi wewe hauna chale, dah sorry niliona vibaya ile ni tatoo nimefananisha