Wadada!

kwakweli lkn dia miezi 6 zi inakuwa haifai tena au?

LOL...Ndo hapo siku akikumbuka hazifai tena, joto na kuzikalia inakua imeharibu kabisa - na kuahirisha kitendo athubutu anaenda kama Soldier shujaa akiamini ataishi au atauwawa....
 
AD nilikua nime miss hio Avatar, ulipobadilisha ukaweka miguu juu ilibidi tu nikubali but i had missed the old one.... I love this one mo'
Haahahaha lol
Sante my dear nilipata PM kwa fujo
kila wananiambia nirudishe..kule kwenye siasa
Ndo walikuwa wananitolea live nikaona bora niirudishe..hahaha lol..
 
mmmmh poor us lol
LOL...Ndo hapo siku akikumbuka hazifai tena, joto na kuzikalia inakua imeharibu kabisa - na kuahirisha kitendo athubutu anaenda kama Soldier shujaa akiamini ataishi au atauwawa....
 
Haahahaha lol
Sante my dear nilipata PM kwa fujo
kila wananiambia nirudishe..kule kwenye siasa
Ndo walikuwa wananitolea live nikaona bora niirudishe..hahaha lol..

Nawashuku walo PM, waliwakilisha...
 
ooh ok thats gud zen lak si una mke,dada mama etc unajua yy anabeba nn? (sio ukapekue pochi lkn)

Rafiki yangu hakosi kioo, vya kupaka midomo, kitambaa, ilasijawahi chunguza full mkoba wake
 
ah ah ah mi sijambo kabisa love duh begi?yani kambi popote?ah ah ah uko juu ma,miss ur sauti tena
Hahahah
vipi mambo mpenzi
Leo umenikamatisha maana dahh mie na beba begi haswa maana na mzunguko ya ajabu.. hujambo lakini..
 
ah ah ah we unabeba mamy?mm sibebi coz sizihitaji lkn nilipokuwa kabinti nilikuwa nabeba lakini za kiume
..........In case rafiki akihitaji.......
Muhimu kubeba mwalii ..................si wajua tena wengine ka wajaluo wao weshazoea wakati wowote ni wakati wa chai...mradi havunji sheria.
 
Hahahah we bibi mzuri
unavituko wewe mmhhh

LOL...sio vituko AD, imagine mi nilikua na nung'unika but ujumbe sikufikisha ningejua kumbe ningeku PM lakini hamna kilicho haribika.. sasa am happy..
 
duh kwakweli leo umenipa somo so inabidi nibebe eeeeh?sawa basi ngoja nianze kesho any idea zipi nzuri?lala salama au zile za madereva rafu?
..........In case rafiki akihitaji.......
Muhimu kubeba mwalii ..................si wajua tena wengine ka wajaluo wao weshazoea wakati wowote ni wakati wa chai...mradi havunji sheria.
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaa Pearl ni bora ukajibebea zile ambazo wawezasimamia utumikaji wake......care mydia....hayo mengine akikugomea utatumia nguvu??
 
ah ah ah mi sijambo kabisa love duh begi?yani kambi popote?ah ah ah uko juu ma,miss ur sauti tena

Hahahshhah
Hata si semi nabeba nini
Maanake mmmhh all i can say
inani chukua kama dakika15 hivi ku pac kila kitu mmmhh
sasa wajua niko wapi nikimaliza huu mchamchaka ntakupigia basi nisikie tena hiyo sauti ya maringo madoido na kuvutia hahahahahahahah lol..
 
Back
Top Bottom