Wadada!

jamani mwee hata kama hayatuhusu potelea mbali ngoja niwaulize hizo pochi mbona hamtwambii kuwa huwa mnaweka na mobile phones? na wakati mwingine mnaweka vitu flan flan vya kutufanya tuwapende zaidi?
 
jamani mwee hata kama hayatuhusu potelea mbali ngoja niwaulize hizo pochi mbona hamtwambii kuwa huwa mnaweka na mobile phones? na wakati mwingine mnaweka vitu flan flan vya kutufanya tuwapende zaidi?
Bishanga usinichekeshe......... kwani mobile phones lazima ziwekwe kwa pochi jamani?? wengine twaweka kwenye manyoyo ah

Hivyo vya kukufamnya umpende zaidi si ndo vyafumu na vipodozi vingine au?
 
Hahahshhah nilikosa
Pakuanzia nikaona salamu kwanza hahahah lol
Sasa nami nakujibu...POA VIPI HALI?

Imetulia mi Niko poa, napitia mapochopocho yenu kwa mikoba, ina nifurahisha sana! Ila mimi kwenye gari sikosi Panga na bisibisi
 
Bishanga usinichekeshe......... kwani mobile phones lazima ziwekwe kwa pochi jamani?? wengine twaweka kwenye manyoyo ah

Hivyo vya kukufamnya umpende zaidi si ndo vyafumu na vipodozi vingine au?
Mi chichemi bana msije mkanifinyanga korodani namii bado nazaa! By the way (nje ya mada) kwa nini wadada kibao mjini wana chale mbili ndogo kifuani? au hilo nalo MJ1 hujali notice?
 
Hii kwangu ni mpya.......kazi yake ??

taratibu bwana, mpya hii? kwanza Mjini hakuna vijiti au nyasi za kukatakata wakati somo linakolea, pili wakatifulani kucha zinaingiliwa pia sahau kuhusu meno, halafu kunawakati inatumika kiTangaTanga.. upo hapo.
 
Imetulia mi Niko poa, napitia mapochopocho yenu kwa mikoba, ina nifurahisha sana! Ila mimi kwenye gari sikosi Panga na bisibisi

Haahaah angalia usipofuke
maana kuna ma lovee davee kwenye hizo handbag s hahah..
Sasa panga la nini dear unavituko wewe aaa
 
ah ah ah mi sijambo kabisa love duh begi?yani kambi popote?ah ah ah uko juu ma,miss ur sauti tena

Hahahshhah
Hata si semi nabeba nini
Maanake mmmhh all i can say
inani chukua kama dakika15 hivi ku pac kila kitu mmmhh
sasa wajua niko wapi nikimaliza huu mchamchaka ntakupigia basi nisikie tena hiyo sauti ya maringo madoido na kuvutia hahahahahahahah lol..

Hahahahahahahah lol
Usiseme kwa nguvu atarudi huku
hahahahahahahah lol..

owkey am keeping it down low shhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Kuna huu wimbo unajua nani kauwimba?

NI bp baby,nimekumiss sana honey
ni bp baby, mi nataka kwenda hewani

Wimbo mzuri sana ila sijui nani kauwimba..
Wa siku nyingi kidogo..
Na huu je??
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
Nipigie, mpenzi nipigie, nakupigia honey
 
eeeeh chale?makubwa haya ngoja nianze kuchunguza pipo here
Mi chichemi bana msije mkanifinyanga korodani namii bado nazaa! By the way (nje ya mada) kwa nini wadada kibao mjini wana chale mbili ndogo kifuani? au hilo nalo MJ1 hujali notice?
 
Haahaah angalia usipofuke
maana kuna ma lovee davee kwenye hizo handbag s hahah..
Sasa panga la nini dear unavituko wewe aaa

Sichungulii sana huko, macho yangu nayapenda, halafu Mimi sinyayui mavyuma, sasa kuna viteja vinaweza kukudhalilisha njiani ukashindwa hata kuchimba mkwara. Ila huu ni mwanzo wa kumiliki AK45
 
Back
Top Bottom