Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,063
NN, hahaaa, ugonjwa wa Ngosha huo. Waarabu wa pemba tunafahamiana. Huyu ukiambiwa Ng'ombe 30, unaongeza wa kwako 10.
Nilishapata habari hadi kwao anapoishi kule Mbezi Beach. Ila sasa hivi nadhani atakuwa kahama na anajitegemea.
Niko mbioni kufungua kikampuni na nikifungua tu, namtafuta yeye anitangazie Biashara yangu. Nataka kuja kumuona kwa karibu. She is not my type on bed but for eyes washing mwana wane, mhhhhhhh!!!!!! kwa sana tu. Kukanda finu nakuachia wewe na kituko. Balantanda yeye anamsaka rafiki yake aitwaye Fidela. Kweli Scandal zinanyenyua wanawake......