Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

NN, hahaaa, ugonjwa wa Ngosha huo. Waarabu wa pemba tunafahamiana. Huyu ukiambiwa Ng'ombe 30, unaongeza wa kwako 10.

Nilishapata habari hadi kwao anapoishi kule Mbezi Beach. Ila sasa hivi nadhani atakuwa kahama na anajitegemea.

Niko mbioni kufungua kikampuni na nikifungua tu, namtafuta yeye anitangazie Biashara yangu. Nataka kuja kumuona kwa karibu. She is not my type on bed but for eyes washing mwana wane, mhhhhhhh!!!!!! kwa sana tu. Kukanda finu nakuachia wewe na kituko. Balantanda yeye anamsaka rafiki yake aitwaye Fidela. Kweli Scandal zinanyenyua wanawake......
 
NN, hahaaa, ugonjwa wa Ngosha huo. Waarabu wa pemba tunafahamiana. Huyu ukiambiwa Ng'ombe 30, unaongeza wa kwako 10.

Hehehehe wewe acha tu bana. Huyu mtoto hatakiwi kupigwa pigwa na mavumbi ya bongo huyu. Wewe subiri tu....

Nilishapata habari hadi kwao anapoishi kule Mbezi Beach. Ila sasa hivi nadhani atakuwa kahama na anajitegemea.

Alaaa! kumbe ni jirani hivyo....hii ni habari njema sana.

Niko mbioni kufungua kikampuni na nikifungua tu, namtafuta yeye anitangazie Biashara yangu. Nataka kuja kumuona kwa karibu. She is not my type on bed but for eyes washing mwana wane, mhhhhhhh!!!!!! kwa sana tu. Kukanda finu nakuachia wewe na kituko. Balantanda yeye anamsaka rafiki yake aitwaye Fidela. Kweli Scandal zinanyenyua wanawake......

Sikonge bana...kujifanya tu eti si type yake. Acha hizo bana...ikipatikana fursa ya kumega kifaa kama hicho hutajivunga wewe. Sijui unaona noma tu kukubali. Mimi wala sioni noma. Nsia nimemzimia.

Na Nsia kama unaingia humu....basi kaa ukijua kuna mtu hapa yuko radhi kukwachia paycheck yake nzima ukaitumie utakavyo.
 
Hapa nilipo najaribu kumpiga picha kichwani mwangu kavaa skinny jeans na stilleto heels huku begani kabeba purse yake sijui ya Louis Vuitton au Louis Stewart....aaah acha bana
 
NN, huyu NS kwa kweli namhusudu sana. Kama ni kubeba basi labda MKE (hapa itajalisha tabia) ila kwa hit and run hapana. Ntaumia sana kumuacha huyu binti. Na kwa sababu nimeshaowa siku nyingi na sina mpango wa kuowa tena, ntafurahia sana kumuona akiwa KAVAA kuliko akiwa wazi. Hapo ntabaki na NDOTO zangu za UZURI wake. Zaidi nakuachieni nyie.

Ila BIASHARA yangu ya kwanza, lazima watangaze NSIA SWAI au MANGE KIMAMBI. Ila Nsia na yeye aache kujifanya MPENDWA. Maji yameshamwagika, yeye aendelee kuishi. Atumie hiyo nafasi kutengeneza hela. Siyo siri kuwa anafahamika sana kwa WATANZANIA kuliko manyota wengi wa Kike pale Bongo.
Dada Nsia wee, niombee tu nifanikiwe. Utatangaza mradi wangu hadi siku utanigambira "STOP".

NN, umia tena roho (Picha kutoka kwa Shigongo).
NSIA.jpg
 
One less competition to worry about. LMAO....eti utaumia sana kumwacha...inachekesha lakini kweli.

Ila BIASHARA yangu ya kwanza, lazima watangaze NSIA SWAI au MANGE KIMAMBI. Ila Nsia na yeye aache kujifanya MPENDWA. Maji yameshamwagika, yeye aendelee kuishi. Atumie hiyo nafasi kutengeneza hela. Siyo siri kuwa anafahamika sana kwa WATANZANIA kuliko manyota wengi wa Kike pale Bongo.
Dada Nsia wee, niombee tu nifanikiwe. Utatangaza mradi wangu hadi siku utanigambira "STOP".

Mange haoni ndani kwa Nsia bana. Nsia kitu organic hicho. Huyo Mange nasikia mi-silicone. Bila silicone sijui hata anafananaje. Mange hata kwa kwa bunduki simmegi.

NN, umia tena roho (Picha kutoka kwa Shigongo).
NSIA.jpg

Kuwa na huruma basi babu...aaaah

Halafu safari ijayo uweke onyo kabisa kama ukiweka picha kama hiyo. Weka NSFW (Not Safe For Work).....maana wengine tuko kwenye maboksi bado. Nimefungua nakutana na ngozi tu ikabidi niruke kidogo....

Nikimpata huyu Nsia...I swear to search her body with my tongue all night long....

To me she is more than a crush!
 
Sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko. Ikitaka mashepu ya kibantu yapo machame, ukitaka wazuri wa sura wapo marangu, Ukitaka wapole wa tabia wapo tarakea na usseri (rombo), ukitaka wachakarikaji ni wachagga wote lakini hasa mashati (rombo), ukitaka sauti za kubembeleza nenda uru au mkuu (ila uwe makini manake hazireflect upole), ukitaka vichwa madarasani na maishani nemda rombo marangu ukitaka weupe, warembo, n.k ila kama humaindi miguu, wachaga ni saiz yako.

Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi. Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malembukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....

Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.

Ramos nimecheka mpaka nataka funja mbavu zangu! haya bana usemayo mi sichangai hebu tupe na wenzetu wadada wa kihaya na wa Iringa nipe mambo yao maana wewe ni mtaalam wa haya mambo ya mapenzi...
 
Alinishika mikono nikamwambia salama.....
Akanishika ........ nikamwambia acha ashike ma-uchafu.....
Akanishika............
Aliponishika hoteli ya mtoto, NIKAMRABUA.......

hapa sijaelewa unamaanisha nini hata kidogo
 
FL1,
Hii ni story moja maarufu ya dada wa Kichaga aliyekuwa akielezea kituko kilichomkuta alipoingizwa chumbaji kwa kijana. Kijana kufika ndani akaanza kalufundi kake na kwanza akamshika mikono, bibie akamwambia salama. Baadaye akamshika makalio, bibie akasema acha ashike ma-uchafu. Akashikwa ...... bibie akasema ......... na mwisho akamshika "hoteli ya mtoto" yaani matiti, bibie ndiyo akachukia na kumrabua yaani "akamlamba kibao kijana wa watu".
Ukimpata Mpare anayeifahamu, basi utacheka hadi uvunjike mbavu. Shemeji BHT naona anaifahamu hii story.
Mengine siandiki kwa sababu ni ya kikubwa na au siyakumbki.

hapa sijaelewa unamaanisha nini hata kidogo
 
Wee ni Mnyaluu kweli au unatishia tu Nyau hapa?

Utaacha niongeze Mke wa PILI maana zaidi ya Wachaga, Wanyamwezi/Wasukuma tunahusudisha sana Wanyaluu...... Uzuri wenu nyie mkishajilia BANGI zenu kama mboga, akaaaahh, hamna noma kabisa. Mnashushia tu BUYU la ulanzi.

ARE you Miss or MRS??!!!
Nyani Ngabu, hapa itabidi niimbe wimbo wa Kamanyola "huyu ni wangu weee, ni wangu haa, ni weeee..... niachieni ni wangu weee...." Balatanda upo hapo?
mi mnyaluuu.....
 
FL1,
Hii ni story moja maarufu ya dada wa Kichaga aliyekuwa akielezea kituko kilichomkuta alipoingizwa chumbaji kwa kijana. Kijana kufika ndani akaana kalufundi kake na kwanza akamshika mikono, bibie akamwambia salama. Baadaye akamshika makalio, bibie akasema acha ashike ma-uchafu. Akashikwa ...... bibie akasema ......... na mwisho akamshika "hoteli ya mtoto" yaani matiti, bibie ndiyo akachukia na kumrabua yaani "akamlamba kibao kijana wa watu".
Ukimpata Mpare anayeifahamu, basi utacheka hadi uvunjike mbavu. Shemeji BHT naona anaifahamu hii story.
Mengine siandiki kwa sababu ni ya kikubwa na au siyakumbki.

hahaaaaa wapare shem wanaongeza chumvi bana

afu na wewe shem na huyo Nsia sio bure kwa kweli, nahisi umebandika picha zake kwenye ukuta wa chumba chako cha kulala wewe!!

mchaga huyo eeeeh ankuburuza kweli kweli shauri yao ambao bado wana mawazo ya 19 forty kweusi!!
 
mchaga huyo eeeeh ankuburuza kweli kweli shauri yao ambao bado wana mawazo ya 19 forty kweusi!!
Baeelezee mamushka watakosa vitu vizuri kwa kufuata stori!! :target:
 
Baeelezee mamushka watakosa vitu vizuri kwa kufuata stori!! :target:

weee baache ba zubae huko sie twala raha tu yakhe!!

wajanja akina Sikonge wanuma huku wanapulizia!!!
 
Hapa nilipo najaribu kumpiga picha kichwani mwangu kavaa skinny jeans na stilleto heels huku begani kabeba purse yake sijui ya Louis Vuitton au Louis Stewart....aaah acha bana

pic.php

Huyooooooo! Poleni vijana.
 
Wanawake wa kichagga wakati wa mchezo utwasikia wakisema...
Uwii kiuno changu kigumu, kingekuwa laini ningekuikia leo
 
Wanawake wa kichagga wakati wa mchezo utwasikia wakisema...
Uwii kiuno changu kigumu, kingekuwa laini ningekuikia leo

jamani this is too much kwani kuchambuana kama karanga hapa, ni kweli wachaga ndio wazito kuliko wote?
Xpin uko wapi wanamtukana matesha hapa!
 
Alinishika mikono nikamwambia salama.....
Akanishika ........ nikamwambia acha ashike ma-uchafu.....
Akanishika............
Aliponishika hoteli ya mtoto, NIKAMRABUA.......

Hii nimeipenda kaka na ukichukulia ile hotel ya mtoto kwa wakibosho ilivyo kubwa lazima amind.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom