Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko. Ikitaka mashepu ya kibantu yapo machame, ukitaka wazuri wa sura wapo marangu, Ukitaka wapole wa tabia wapo tarakea na usseri (rombo), ukitaka wachakarikaji ni wachagga wote lakini hasa mashati (rombo), ukitaka sauti za kubembeleza nenda uru au mkuu (ila uwe makini manake hazireflect upole), ukitaka vichwa madarasani na maishani nemda rombo marangu ukitaka weupe, warembo, n.k ila kama humaindi miguu, wachaga ni saiz yako.

Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi. Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malembukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....

Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.

Talking from experience Mr???
Si kila mdada wa kichagga yuko hivyo i guess ni huyo/hao uliokutana nao wamekufanyia hivyo wewe unajumuisha kila mtu. Mark the bolded text. Sie ni wazuri sana mungu katujaalia kila kona ya mwili hata kama miguu haijakaa sawa angalau tunatembea kuliko kukosa kabisa miguu (no offence intended).
Muache kutusemasema kila siku instead sema na demu wako anayekulet down mkiwa chumbani........................:frown:
 
JS mwambie ukweli huyo!
 
pic.php

Huyooooooo! Poleni vijana.

Mhhhhh! Mambo hayo!
 
JS mwambie ukweli huyo!

Yani Mon kila siku sie tu kila siku sie wachagga wachagga mademu wa kichagga inaonyesha jinsi gani tunavyopendwa na kina kaka ndo maana hawaishi kutusema. Halafu wanachosemea zaidi ni mambo ya chumbani tuuuu hakuna kingine
 
Mie Wachaga hawanipati ng'oo. Labda akitaka basi awe nyumba ndogo ila mke wangu simwachi.

Nawapa pole akina Nyani Ngabu maana watakuwa tayari kumuachia pesa zote baba mkwe.

Boy Friend wa Nsia kazi anayo maana wameza mate TUPO WENGI. Ila sema wengine ni kama FISI, kama miye hapa. Naombea kila siku MKONO UKATIKE ... heheheee :)
hahaaaaa wapare shem wanaongeza chumvi bana

afu na wewe shem na huyo Nsia sio bure kwa kweli, nahisi umebandika picha zake kwenye ukuta wa chumba chako cha kulala wewe!!

mchaga huyo eeeeh ankuburuza kweli kweli shauri yao ambao bado wana mawazo ya 19 forty kweusi!!
 
Mie Wachaga hawanipati ng'oo. Labda akitaka basi awe nyumba ndogo ila mke wangu simwachi.

Nawapa pole akina Nyani Ngabu maana watakuwa tayari kumuachia pesa zote baba mkwe.

Boy Friend wa Nsia kazi anayo maana wameza mate TUPO WENGI. Ila sema wengine ni kama FISI, kama miye hapa. Naombea kila siku MKONO UKATIKE ... heheheee :)

aaaah hilo sio tatizo, nyumba bdigi ndo zinafaidi siku hizi

FISI..........LOL!!! Utashanga huo mkono humo ndo mwake baba!!!

tokn of wakina Ngabu................, shem wapi Steve Dii!!?? kadakwa na akina Da Sophy wa Buguruni nini??
 
Kusema ukweli mie na SteveDii hatufahamiani kabisa na wala hatujawahi kuandikiana moja kwa moja.Hivyo kupotea kwake wala sina habari ingawa ni kweli SteveDii na Bluray, wameadimika kama hela za EPA.

BAK vipi tena? Si ulisema Wachaga tuwaache? Huo MZIGO naona umekutoa PANGONI, hahaaaaaaa :) Wagonjwa wa WOWOWO tunafamiana.

Nsia Swai ni KIBOKO YAO. Mie nashangaa sijamuona hadi leo kwenye matangazo barabarani. Acha tu WALALE, nikianza naye, ntaandikiana naye kabisa mkataba asiniache siku akipanda daraja. Atatangaza biashara zangu kwa miakan 5 mfululizo.

Bibie Nsia, naja huko Dar - PURE BUSINESS.
 
Nilisema muwaache kuwasemasema wabadilike kila kukicha. Tabia mbaya zinazoandikwa hapa kuhusu wadada wa kichaga zipo pia katika makabila yote katika Tanzania yetu lakini hazizungumzwi kama zinavyozungumzwa za dada wa kichaga. Eti wagonjwa wa WOWOWO tunafahamiana hahahahahaha...LOL! Sikonge, sikuandika chochote kibaya cha dada zetu wa kichaga bali ni kufurahia tu kazi ya Mungu aliyoifanya katika kumuumba huyo kiumbe Nswia anayewapagaisha Watanzania ndani na nje ya nchi, upo hapo Sikonge? :wave:
 
hahaaaa shem umeharibu mazima!!!!!!

bora ungeacha kabisaaaaaaaa kusema
 
BAK, wengine hizo TABIA mbaya unazosema ndiyo tunazipenda ati. Kale ka-ushambaushamba kao kwa watu kama sisi ma-Bushman wa Sikonge, tunakuwa kama Chanda na Pete. Hamna tabia mbaya duniani. Wengine wanapenda Mimama iliyoshiba kama Nsia na wengine hasa Wazungu wanapenda saaana NYAMA KARIBU NA MFUPA. Hapa kweli ni kubaki tu kufurahi Kazi ya Muumba - Haina makosa.

Mie huwa wananifurahisha tu Kiswahili chao na lafudhi yao "ehhh Kadogo, umemuona yule Mbusi Msichana.....?" Huko chumbani kwa kweli inakuwa ni furaha tu kwani kila wakati atakuchekesha kwa maneno/lugha ambayo hujaizoea. Wengine wanaona hiyo ni shida.
Wanasahau kuwa yule MC wa Moshi, alikufa akishughulikiwa na dada wa Kichaga ati. Halafu wanasema hawajui shughuli! Hata Makonde hajauwa mtu kitandani ndani ya Guest House. Mchaga, YESSSS!!!

Mwageni picha za wasichana wa Wachaga wengine hapa.
hoyce+tem.JPG

Nilisema muwaache kuwasemasema wabadilike kila kukicha. Tabia mbaya zinazoandikwa hapa kuhusu wadada wa kichaga zipo pia katika makabila yote katika Tanzania yetu lakini hazizungumzwi kama zinavyozungumzwa za dada wa kichaga. Eti wagonjwa wa WOWOWO tunafahamiana hahahahahaha...LOL! Sikonge, sikuandika chochote kibaya cha dada zetu wa kichaga bali ni kufurahia tu kazi ya Mungu aliyoifanya katika kumuumba huyo kiumbe Nswia anayewapagaisha Watanzania ndani na nje ya nchi, upo hapo Sikonge? :wave:
 
Kina Nsia tuko wengi uchagani hamtujui tu, acheni kutushambulia jaman na ni lazima mkubali tu kuwa chaggas we are leading. Hakuna ubishi kwa hilo. take care
 
Mimi napenda Wanyalukolo bana...they are ladies in the streets but freaks in the bedroom....acha bana...

Halafu wananiachaga hoi sana na kale kamsemo kao ka 'niangusage' Lol
...Mkuu ukipata nafasi tembelea mkoa wa singida wilaya ya Iramba kuna wanyiramba kule sina jinsi ya kuelezea hapa lakini mambo yao kama una roho nyepesi unaweza kutoa mpaka "password" ya ATM kama si hati ya nyumba au kadi ya gari!!!:hug:
 
BAK vipi tena? Si ulisema Wachaga tuwaache? Huo MZIGO naona umekutoa PANGONI, hahaaaaaaa :) Wagonjwa wa WOWOWO tunafamiana.

Nsia Swai ni KIBOKO YAO. Mie nashangaa sijamuona hadi leo kwenye matangazo barabarani. Acha tu WALALE, nikianza naye, ntaandikiana naye kabisa mkataba asiniache siku akipanda daraja. Atatangaza biashara zangu kwa miakan 5 mfululizo.

Bibie Nsia, naja huko Dar - PURE BUSINESS.

Gosh kaka zetu hamjatulia ..natamani nimwite wife achungulie hapa...trip yako itakuwa cancelled
 
Back
Top Bottom