Wadada/binti/mama

Sarafina1

Senior Member
Mar 28, 2011
153
85
umeshawahi kujiuliza?

Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?

Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.

Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.

Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.

Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
 
Deffence kama hizi huwa zinanifanya nisome mara mbili mbili ili nielewe sana.
 
Umesema tusifanye kabla ya ndoa halafu wewe wewe unasema tufanye angalau siku tatu kabla! Lipi ni lipi?
 
Hi Sarafina.
Nadhan mawazo yako mazuri ila wengine unatuhukumu bure

Think of una mshikaji wako (one and the only one) mumekuwa kwenye uhusiano kwa muda kama mwaka utagomea kipi? tena as kila mmoja (mdada na mkaka mnatamani mchezo) sasa ya nini kujizuia.Kwangu baya ni kuonjwaonjwa na zaidi ya mmoja on the same period.
 
Sasa mpenzi umekaa na huyo mpenzi kwa muda wa mwaka ukaona anaelekea ukampa, baada ya muda kupita mkaachana baadae tena unakutana na mwingine unamnyima baada ya muda mnaachana utawaonjesha wangapi? mi nafikiri inabidi ifike kipindi useme basi inatosha. Ni maoni yangu tu
 
Umesema tusifanye kabla ya ndoa halafu wewe wewe unasema tufanye angalau siku tatu kabla! Lipi ni lipi?

Hiyo siku tatu kabla ya ndoa unakua una uhakika kabisa huyu ni mume wangu na sio wale mnakaa anakwambia nitakuoa, nitakuoa lakini huoni jitihada zozote yeye kuwa na wewe nia yake ni kufanya tu mapenzi na wewe lakini ana mpango wa kuoa kwingine kabisa
 
Tendo la ndoa sio zawadi kwa atakaeoa. Ni haki ya msingi ya mwanamke au mwanaume bila kujali kaoa au kaolewa ilimradi tu havunji sheria za nchi.
 
Ni kweli huvunji sheria ya nchi lakini wanaume, wanatabia ya kukufuata akijifanya anakupenda kumbe nia yake ni kufanya tu tendo la ndoa na wewe lakini akisharidhika baada ya muda anasepa. Tena mwingine anasifia kabisa naniliu yako njuli ila kuoa anaenda kuoa kwingine kabisa.

Sisemi kama ni zawadi ya atakaekuoa ila nadhani inabidi ufike mahali useme basi inatosha
 
Sasa mpenzi umekaa na huyo mpenzi kwa muda wa mwaka ukaona anaelekea ukampa, baada ya muda kupita mkaachana baadae tena unakutana na mwingine unamnyima baada ya muda mnaachana utawaonjesha wangapi? mi nafikiri inabidi ifike kipindi useme basi inatosha. Ni maoni yangu tu
Sijinyimi raha labda kwa sababu za kidini tuuuuuuuuuuuu
 
Hiyo siku tatu kabla ya ndoa unakua una uhakika kabisa huyu ni mume wangu na sio wale mnakaa anakwambia nitakuoa, nitakuoa lakini huoni jitihada zozote yeye kuwa na wewe nia yake ni kufanya tu mapenzi na wewe lakini ana mpango wa kuoa kwingine kabisa

ila sarafina hujui kama siku moja tu inaweza ikabadilisha kila kitu.
Wanaume wana mbinu my dear, ndani ya hizo siku 3 anakulamba na unakimbiwa.
Bora kuwa msimamo, kama ni baada ya ndoa sawa, kama unatafuta maxpiriens kwanza haya.
Ila ushauri wako mzuri.
 
Sarafina kwa vazi lako nilidhani ungewasetiri zaidi wanamama/mabinti kumbe ndo umeua kabisa...nina mawili matatu ya kujiuliza hapa,kwamba hili tendo linafanywa na wanawake peke yao ama? Na je una takwimu kua wanaume ni waharibifu sana km kipimo ni wanawake? unajua kwa kila tendo moja linalomtia mwanamama doa la umalaya kuna mwanaume aliyejipiga piga kifua kusifia utaalamu wake wa kukata kiuno?
Km kauli yangu ingekua na nguvu ningeagiza,masaa ishirini na nne tokea sasa tendo la ndoa lifanyike kwenye ndoa tu kulinda heshima ya ndoa! Na hii habari ya kuonja iwe historia tu! Na siku tukigundua umeonja/onjwa,tunakurudisha kwenye vijiji vya ujamaa maana ustaarabu wa mjini utakua umekushinda!
 
Eee Sarafina..ile kitu ni tamu wach mchezo..ni heri ungesema usiwe na mpenzi kabisa kuliko uwe nae afu usifanye..sasa tutakuwa tunapiga story tuu?mwisho kuanza umbea.aii

hiyo siku tatu kabla ya ndo anaweza akakumega na kukukimbia vilevile kama hujameet expectation...lol
 
hii starehe ni kitu kingine na tofauti bana, unaweza kujisemesha mie sitaki kabisa nitakaa ivi ivi hadi nipate wa kwangu nyege zikifika mahali pake unasahau ulichojisemea,

na katika uhuusiano kwa maisha ya sasa ni vigumu kuishi ktk uhuusiano bila kuduu kwani unaekuwa nae ni kaka yako??
 
Back
Top Bottom