Wadada/binti/mama

umeshawahi kujiuliza?

Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?

Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.

Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.

Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.

Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Kwanini tunabalehe kabla ya ndoa???
 
I dont think kama nakuelewa wat u real want?unataka faida za kufanya mapenzi au faida za kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada ya ndoa au siku tatu kabla ya ndoa?kwa mtazamo wangu mapenzi yanafaida nyingi sana,yanajenga kujiamini,ushirikiano,upendo etc faida za tendo lenyewe nazo ni nyingi pia ol in ol kila mtu anaefanya anajua anafanya kwa faida ipi.na ukija ktk swala la kwann mtu anasema hata fanya mpaka aolewe usichukulie tu kwakua ww ni mwanamke umepotezewa mda au umechezewa,wapo pia wanaume waliopotezewa mda na waliochezea!na wao pia wanasema hawatafanya mapenzi mpaka ndoa
 
umeshawahi kujiuliza?

Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?

Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.

Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.

Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.

Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi

Sarafina, hapo kwenye red kivipi mbona sikuelewi..

kwani kazi ndo itakutimizia matakwa yako ya kibiolojia jamani?
chombo cha starehe kivipi kwani we pia si unastarehe jamani hee au we husikii utamu?!!
 
I guess Sarafina ameishatendwa sasa anazungumzia from her experience, which does not apply to everyone.
 
umeshawahi kujiuliza?

Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?

Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.

Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.

Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.

Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi

Na kama ndio huolewi kabisa inakuwaje hapo?
ulishaonja asali hakuna kuchonga mzinga tena eeehh
 
Ni kweli huvunji sheria ya nchi lakini wanaume, wanatabia ya kukufuata akijifanya anakupenda kumbe nia yake ni kufanya tu tendo la ndoa na wewe lakini akisharidhika baada ya muda anasepa. Tena mwingine anasifia kabisa naniliu yako njuli ila kuoa anaenda kuoa kwingine kabisa.

Sisemi kama ni zawadi ya atakaekuoa ila nadhani inabidi ufike mahali useme basi inatosha

Weka yamini kuwa hutatoka nje ukishaolewa, utashinda. Bt kabla ya hapo, duh, utajuaje kuwa huyu atakuweka ndani. Kama hujaolewa try it.
Wengine wanafanya kama funny/hobby siyo kwa kutaka kuolewa wa pesa, na hao unawaweka wapi?
 
Sina hakika kama naelewa kiswahiri au kulambwa,kuonjeshwa,kuonja kumwagwa nk inakuaje hapa?hv kikojoleo kinaonjwa?Naombeni nionje na mimi jamani.
 
Weka yamini kuwa hutatoka nje ukishaolewa, utashinda. Bt kabla ya hapo, duh, utajuaje kuwa huyu atakuweka ndani. Kama hujaolewa try it.
Wengine wanafanya kama funny/hobby siyo kwa kutaka kuolewa wa pesa, na hao unawaweka wapi?

Nilikua najaribu kufikiria kwani haiwezekani kuacha na kupumzika, maana kama ni experience za hivyo vitu umeshapata huwezi kuacha tu ukajisubiria? mimi nataka kujaribu hii kitu
 
I guess Sarafina ameishatendwa sasa anazungumzia from her experience, which does not apply to everyone.

Ni kweli nilishatendwa na sidhani kama ni mimi tu ambae nimewahi kutendwa kwani kama alivyosema pearl hata wanaume huwa wanatendwa, ninachofanya ni kukusanya maoni ya watu mbali mbali na mitazamo yao.
 
sarafina1 umenichekesha kweli ..bwabwaaaah, yaani umekuwa muoga hivi?naona umeomba mnooo wadau wasikushambulie...na kweli hawajakushambulia....ila dear ndo hivo, kukushambulia ni sehemu ya changamoto tu humu ndani,tushazizoea kwahiyo zisikutoe machozi!! sawa???bwabwaaaaah
 
umeshawahi kujiuliza?

Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?

Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.

Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.

Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.

Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi

Only if kuna kiumbe kimeshushwa toka mbinguni kwa ajili yako TU..
Na ukimsubiria anaekuja kukuoa, unajua na yeye kapokea miili mingapi kabla??!!...Play safe:)))
 
Ni kweli nilishatendwa na sidhani kama ni mimi tu ambae nimewahi kutendwa kwani kama alivyosema pearl hata wanaume huwa wanatendwa, ninachofanya ni kukusanya maoni ya watu mbali mbali na mitazamo yao.
Do what suits you the best vinginevyo you wont get the actual answer for your question
 
Back
Top Bottom