Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
  • Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo.
  • Nina shughuli yangu kuu, hili duka niliweka mtaji kidogo kwajili ya dogo wa form 4 awe busy bila kujali hasara au faida, japo kwa sasa naona binti kanihamasisha niliendeleze.
Ni juzi niliweka mkasa hapa wa kuomba ushauri juu ya mimi kuzama katika penzi na binti wangu wa dukani mwenye miaka 19 mimi nikiwa nina miaka 28.

Kanuni yangu ya kuajiri huwa ni mabinti wa kawaida tu ambao nywele huwa wananyoa tu, wanavaa sketi, kujipodoa kawaida, n.k. huwa naamini hawa wapo kikazi zaidi kuliko wale wa kubadili misuko, kujipodoa sana, kuvaa jeans zinabana, n.k. hawa huwa naona wana mambo mengi.

Jioni ya majuzi wakati nafunga hesabu geti likiwa limeshushwa, yeye alikuwa ameketi akisubiri kunipa melezo pindi nikihitaji ufafanuzi, ghafla hisia za kimapenzi zikanijia kwa sauti yake nyororo na macho yake yenye aibu pindi tulipokuwa tukiongea na kuonana uso kwa uso, nilimsogelea mwanzoni alileta resistance kuashiria hataki lakini nikamkazia nikaanza kumkiss ila kama hataki ila baada ya dakika hivi nae akaanza kunipa ushirikiano, mambo yalipamba moto nikampakata na kuendelea na maromance mazito huku mtoto akiwa anahema hoi bin taaban!! niliwehuka nilimtomasa na kumminya kimahaba ila tu sikuweza kumaliza kazi (kusex) sababu nilikuwa nimeshusha tu geti.

Basi ndio nikaja humu jf kuomba ushauri kwamba kesho yake nikienda kufunga hesabu nimalize kazi au lah, nikashauriwa nisithubutu na kweli kesho yake nilimueleza binti kwamba ni kashetani tu kalinipitia, nashukuru alinielewa na nikashukuru nimetoka mtegoni, ila sasa siku ya jana, bwana bwana!! nimekaa tunafunga hesabu akili ikafikiria yale yale nikamsogelea binti usoni na muda huu hakukataa, tulifanya romance kidogo tu nikamwambia afunge duka anifuate sehemu flani mimi nilitangulia, huko nilienda kutafuta lodge na kweli alipofikia maeneo ya karibu nikamuelekeza aje nilipo.

Alikuwa anakataa tuingie lodge twende kwangu lakini nikamsomesha akakubali, kufika lodge, basi tuliingia lodge nikamwambia akaoge kwanza, mh!!! ile kavua nguo tu uzalendo ulinishinda jamani, nilivaa mpira wangu nikajipigia danadana kupunguza kipuru ndio akaenda kuoga, aliporudi tena action iliendelea, ni mengi tulifanya ila nifupishe tu.

Binafsi nimemwelewesha kwamba ya jana ilikuwa ni casual tu lakini najua najidanganya kabisa maana sio kwa oven na mnato niliokutana nao jana ule, leo pia nimepanga nifanye revision.

Hadi sasa nina mwanamke ila hatujafunga ndoa na tulipata mtoto, so huyu binti kwangu ni kama vile namuona mchepuko.

Sasa going forward from here najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara?

Pia soma:

 
NB. Uzi uliotangulia sikuusoma na baada ya ufafanuzi wako sioni umuhimu was kuutafuta na kusoma.
Ushauri wangu.

OA huyo binti huwa tunajidanganya kwa kuset standard kuhusu wenza but GOD IS MATCH MAKER fanya mchakato oa kabisa Kama unamke sitisha uhusiano haraka Kama ukiwa karibu naye unqshindwa kujizuia ni afadhali ufukuze kazi kabisa la sivyo itakucost
 
Dah, another single mama in the making. Uliezaa nae unaenda kumtelekeza kiuzembe usipojiangalia af utakuja kutuambia ana pigo za kifeminist🚮
Enhee hadi unamtongoza huyo mwanamke wako wa dukani, huyo uliezaa nae alikua na makosa gani?
 
NB. Uzi uliotangulia sikuusoma na baada ya ufafanuzi wako sioni umuhimu was kuutafuta na kusoma.
Ushauri wangu. OA huyo binti huwa tunajidanganya kwa kuset standard kuhusu wenza but GOD IS MATCH MAKER fanya mchakato oa kabisa Kama unamke sitisha uhusiano haraka Kama ukiwa karibu naye unqshindwa kujizuia ni afadhali ufukuze kazi kabisa la sivyo itakucost
kuhusu kuoa sidhani, soma kipengere cha kwanza nilichoweka kwenye post mkuu
 
najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?

  • Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo.
  • Nina shughuli yangu kuu, hili duka niliweka mtaji kidogo kwajili ya dogo wa form 4 awe busy bila kujali hasara au faida, japo kwa sasa naona binti kanihamasisha niliendeleze.
Wewe unamadharau sana dogo.
 
Back
Top Bottom