Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Vivian si kwamba Kimara ni karibu na Moshi...Ila wachaga wanaogopa bahari...umewahi kusikia mchaga anakaa kigamboni au nenda Zanzibar utaona wachache wenye roho ngumu...the fact iz wanaogopa kuvuka maji..........
 
Waha nao wapo Tegeta na Bunju na maduka yao ya vyakula 'MWIDIWE TSE' hahahahhahaaaaaaaaaaaa
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
Kushona Viatu, shoe shiner,Maduka,Baa,Na kupara miwa nasikia wameshika kijiti No1
 
Mbuta! Hivyo vimasawee hu moshi vimejaa kinoma. Kila gari 10 ninazoziona barabara ya sokoine 6 ni vimasa- vimasawee
 
wachagga mnavotudiskasigi humu jamvini...
Kuhusu kukaa mbezi kimara na maeneo hayo, kwanza kulikuwaga ni bei ya chini kidogo kununua, na unapata eneo la kuweka mgomba wako, na miwa na mipapai yako!
Gari la vitara/escudo linaserve for both,barabara mbovu za huku kimara, na inaweza kuhimili mikiki ya barabara za nyumbani (rombo,uru,machame,kibosho,marangu) tunapokuja desemba kuhiji na ni rahisi kumiliki(mafuta,spea)
 
Back
Top Bottom