kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Ukiambiwa Ubungo, Kimara, Mbezi hadi Goba palikuwa kwa Wazaramo hutoamini wazaramo waliendaga wapi?
Ukiambiwa Ubungo yote hadi Kibamba paliwahi kuwepo wazaramo hutoamini
Makongo juu hadi Mbezi Beach na Mikocheni na Mlimani ukiambiwa paliwahi kuishi watu wanaoitwa Wazaramo utakataa kukubali.
Aisee kuna jamii zinapotea kwa kasi mno! Ni ngumu kwa Ubungo, Kimara, Goba, Mbezi au Kibamba kukuta kaya ya kizaramo ni ngumu sana.
Huku pametawaliwa na jamii nyingine kabisa mfano Kimara, Ubungo,mbezi hadi Kibamba utadhani ni jimbo la mkoa wa Kilimanjaro maana majority ni wachagga na wapare.
Ni rahisi sana kwa Chanika, Mbagala au Temeke kufanana na mzaramo lakini sio Goba au Mbezi despite kuwa waliwahi kuwepo hapo awali.
Hivi Wazaramo wote waliopotea Dar waliendaga wapi?