Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
DOuble cabin ya TOYOTA
 
Hapa kuna kaukweli,nina mdogo wangu kabla hajaoa aliishi kijitonyama na alikuwa na nissan patrol,kuoa tu mmachame kahamia mbezi nakanunua Escudo.Kumbe ndo maaaaana!!!!!!
 
Kimara yooote mpaka Mbezi ni wao. wakienda/kurudi moshi wanmalizia kila ktu maeneo ya kwao hawahitaji kwenda Ubungo
Kuna siku nilishangaa kwa nini Dar express kuna wakati huwa inaingia Ubungo haina watu.............. kumbe iliowabeba wote wachaga na walishashuka Kimara
 
Kuna siku nilishangaa kwa nini Dar express kuna wakati huwa inaingia Ubungo haina watu.............. kumbe iliowabeba wote wachaga na walishashuka Kimara

hii nimeipenda sana. lazima hilo Basi lilikua linaitwa Meridian au Dar Express
 
Kimara maisha safi kifamilia zaidi, escudo ni gari ngumu,inatembea barabara zote,inatumia mafuta vizuri na-ila kwa sasa tuna hamia kwenye Nisan ex trail .
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.

na escudo wana ziita vimasawee
 
Ngoja nitaanza kuanzia leo kuhesabu hizo eskudo zinazokuja pale kimara na kuandika namba zake kabisa ili niwe na data kamili
 
Wengi wana biashara maeneo ya Manzese/Ubungo so wanaamua kujenga karibu na maeneo hayo........pia mandhari imefanana na ya mndenyi.
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.

Red: Probably something to do with the Network theory of migration
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?.

wachaga wachaga, ni hofu juu yao, au wanafanya mambo ya ajabu kuliko makabila mengine

mara pick up, biashara Kariakoo, maofisi mengi wamejazana wao, wanapenda hela

wanajaa sana baa, wadada wakimachame sio, Chadema wao
 
Back
Top Bottom