TANROAD iweke matuta barabara ya njia nane ya Kimara to Kibaha

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Tunaomba Serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia watumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekuwa kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazotakiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

1. Kimara stop over
2. Kimara suka kwenye mataa
3. Kimara suka karibu na kivuko cha wapita kwa miguu
4. Temboni
5. Kwa Msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekuwa na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka matuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.
 
Tunaomba serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia wafumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekua kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazo takiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

5. Kwa msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekua na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka natuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.
Kipi ni bora, kutoa elimu kwa watumiaji barabara, au kuwekwa matuta ambayo mara nyingi ndio chanzo cha foleni? Kutakuwa hakuna maana ya kujenga barabara kubwa kama ile halafu unaweka matuta...
 
Tunaomba serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia wafumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekua kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazo takiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

1. Kimara stop over
2. Kimara suka kwenye mataa
3. Kimara suka karibu na kivuko cha wapita kwa miguu
4. Temboni
5. Kwa msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekua na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka natuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.

Either waweke Speed Radar Camera maeneo tajwa 40Kph Kibaha mailimoja na Ubungo maji vituo vya faini.
 
Tunaomba serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia wafumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekua kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazo takiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

1. Kimara stop over
2. Kimara suka kwenye mataa
3. Kimara suka karibu na kivuko cha wapita kwa miguu
4. Temboni
5. Kwa msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekua na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka natuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.
Hivi umeshaona ñchi nyingine duniani ambayo inaweka matuta kiholelela kama Tanzania??!!

Badala ya kuelimisha watumiaji wote wa Barbara kuzingatia Sheria za usalama barabarani tunang'ang'ana na matuta?

Ina maana akili za Watanzania ni finyu kiasi ambacho hawana uwezo wa kuelewa na kufuata sheria za usalama barabarani bila kuwekewa matuta?

Nadhani kuna umuhimu wa Wizara husika kujitafakari kama kweli njia pekee ya kuzuia ajali ni kujenga matuta katika Barbara kuu!
 
Tunaomba Serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia watumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekuwa kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazotakiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

1. Kimara stop over
2. Kimara suka kwenye mataa
3. Kimara suka karibu na kivuko cha wapita kwa miguu
4. Temboni
5. Kwa Msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekuwa na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka matuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.
Akili kisoda.

Hujui matuta yanaharibu barabara.

Ningekuelewa kama ungetoa pendekezo la kuwekwa kwa Camera mahalum kwa ajili ya kuwadhibiti madereva wasiofuata sheria za barabarani kama vile mwendo kasi, kupita kwenye taa nyekundu nk.
 
High way huwa haziwekwi matuta.

Elewa maana ya High way.

Ile barabara ni high way. Tena ndio T1 .. kuweka matuta ni kutoelewa dhumuni la ile bara bara
Hiyo siyo highway mkuu, highway gani speed 50 km / hr na mataa kila baada ya mita 200
 
Labda uelezee kuwa matita yanapunguza vioi ajali za kugongwa wanaovuka badala ya alama za kuvukia?. Je speed limit za vibao zilizopo hazikiddhi?.
Kifupi matuta sio suluhi. Watu wapate elinu ya matumizi ya barabara
 
Labda uelezee kuwa matita yanapunguza vioi ajali za kugongwa wanaovuka badala ya alama za kuvukia?. Je speed limit za vibao zilizopo hazikiddhi?.
Kifupi matuta sio suluhi. Watu wapate elinu ya matumizi ya barabara
 
Tunaomba Serikali iweke matuta kwenye barabara hii maana ujenzi haukuzingatia watumiaji wengine zaidi ya magari japo barabara yenyewe imekuwa kero hata kwa wenye magari.

Sehemu zinazotakiwa kuwekewa matuta kipaumbele ni zifuatazo

1. Kimara stop over
2. Kimara suka kwenye mataa
3. Kimara suka karibu na kivuko cha wapita kwa miguu
4. Temboni
5. Kwa Msuguri
6. Kibanda cha mkaa
7. Luguruni
8. Kibamba hospitali
9. Kibamba kwa yusuph
10. Sehemu zote zenye vituo vya mabasi

Kumekuwa na ajali nyingi sana kutokana na barabara kujengwa chini ya viwango

Kuweka matuta itasaidia kupunguza ajali nyingi na kuokoa maisha ya watu.
Highway haziweklwi matuta....
 
napendekeza badala ya kuweka matuta waweke vivuko vya juu 🐒
 
Back
Top Bottom