Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Una vigezo vyovyote visivyo na shaka? Au ndo kivile stori za vijiweni?
Kama maelezo yenu yana akili yeyote mbona huku Uswazi kuna wafanyabiashara matajiri na PhD holders etc kutoka hayo makabila mnayoyadharau while in contrast kuna wachaga wengi tu wavuta bange, wapiga debe, vibaka, wazoa taka, wachimba mitaro etc? Au huko kwenu hawapo?
Jibu Tafadhali.
Hao wavuta bangi, wapiga debe, vibaka, wazoa taka, wachimba mitaro n.k. watafute baada ya miaka kadhaa uone hatua walizopiga. Kazi ni kazi ili mradi una malengo nayo.