Wachaga wanaweza kuleta maendeleo

Kwakuwa hii thread,mtumaji kawataja wachagga,licha yakuwa ina mantiki na ukweli usiyo na kificho,"NAUNGA HOJA"
Ila tatizo nikwawale waliyo na fikra za udini na ukabila hata linapokuja suala la maslahi ya taifa!!
 
nimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sanay
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
Acheni kuleta uchafu hapa jamvini ili kulinda heshima ya jf mod futa huu upupu hapa
 
Tanzania hatumpi mtu uongozi kwa kigezo cha kabila, dini, au rangi. Tunaangali uwezo.

kweli maana itakua soo tusiongee kwa ushabiki kwa kua na mimi nimchaga labda ni sapport haya mawazo mgano hapana
Tuwe na logig inayoeleweka...................
 
Hata polisi katika vitu wanvyoangalia wakati wa kutafuta wahalifu ni kabila...ikitokea ujambazi msiniulize wanaangali makabila gani kwanza..lol!​

On a serious note, hizi siasa za kikabila hazitatufikisha popote watanzania/watanzagiza wenzangu. Ukitizama sana, utaona hakuna wachaga hasa ila kuna wakibosho, wamarangu etc na hizi intermarriage (mf mimi nimeoa mmarangu, nafahamu 'wachaga' waliooa kutoka kabila langu na makabila mengine pia) wa za sasa ndio kabisa makabila yanaenda yakipotea.
 
1. Mrema
2. Freeman Mbowe
3. Basil Mramba
4. Daniel Yona
5. Lema
Hawa Wachagga ni Mafisadi sana
 
Hao wavuta bangi, wapiga debe, vibaka, wazoa taka, wachimba mitaro n.k. watafute baada ya miaka kadhaa uone hatua walizopiga. Kazi ni kazi ili mradi una malengo nayo.
Kwanini niwatafute wakti nawaona leo wamepigika na hawana matumaini yoyote? Tena wengine kila siku asavali ya jana?
 
Hivi Ujinga mtaacha lini? Hivi Mrema siyo Mchagga? Lowassa (FISADI #1) siyo Mchagga?

Ebu ondoa Upuuzi wako hapa

Kweli Mrema ni Mchaga ila EDO nahisi sio. Naamni ni Mmasai ila wanaompinga wanafull proof kuwa ni Mmeru. Hakuna mjinga hapa Mkuu.

Na Mrema sio lele mama , Ukitaka uliza jeshi la polisi wanavyomshukuru hadi kesho. Sijui kama kuna kituo kingine kidogo cha polisi kilijengwa baada ya Mrema kutoka.
 
Mrema hivo vituo alijenga kwa pesa ya nani?
 
wachaga ..................majambazwachaga....................wapenda pesawachaga....................matapeliwachaga.....................maneno mengi hayaangushi mlimawachaga .....................waongowachaga................wakiazima pesa hawarudishiwachaga...........wanajipendawachaga............
 
nimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sana
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
wamachame sio wachagga
 
mkuu unazungumzia uwezo, lakini ilishanenwa kitambo hayo makabila kwenye red tusiyape nchi yatuongoze huoni kwamba huo ni ukabila kubagua baadhi ya makabila kutoongoza nchi yao???

mhaya ana maendeleo gani?hebu tueleze ni sehem gani ya kiuchumi muhaya kawekeza ambako serikali inapata kodi?mabishoo haooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom