Wachaga wanaweza kuleta maendeleo

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sana
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
 
Wanaume na wanawake wa ukweli wako chini ya mlima mrefu kuliko wote Afrika.huko hakuna kuremba full kazi ,na wanajua kuheshimiana na "shekeli"
 
Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.
 
Mimi sio mchaga lakini hawa jamaa nawakubali...........

ukweli ni kwamba mahali mchaga hawezi kukaa basi ujue hata mbwa na fisi hawatapaweza,

Mahali mchaga kashindwa kupabadilisha basi ujue hata mvua ikinyesha majani hayaoti..........
 
Mie mbavu zangu hakika .Umesema maneno mazito .Mimi Lunyungu natokea Iringa lakini nakueleza mama wa Kichaga boss wangu Serikalini alinisimamia hata nikasoma Elimu ya juu na nikamuuliza majuzi tukiwa Toronto kwa nini ulinifanyia vile wakati nimeingia kazini nikakuta wako wenzangu wengi? Akajinu Lunyungu ulionyesha skills na nia ya kusoma na wenzako walipenda sana viti na vyeo ofisini ndiyo maana nikaamua kikupa support .Ni kweli wachaga ni watu kabisa .
 
"Wao wakichuma mavuno ya jasho lao huko nje wanakumbuka nyumbani (Moshi na vitongoji vyake) sana. Nadhani wangepata hizo trip mia tatu na ushee za kupaa na tiara ndani ya karibu zaidi ya miaka 5, si haba tungecheka zaidi kuliko kunung'unika" Natania tu.

La kupewa nchi sijui, lakini la kuchapa kazi waafrika wenzetu hawa huwezi kuwaweka pembeni.
 
dah! Mchagga akishika nchi,makao makuu ya TRA lazima yawe Moshi.
Alafu lazima Mbegge ipewe adhi ya kuwa kinywaji cha asili ya Wa-Tz.
Pia ndizi ndio kitakuwa chakula asili ya Tz.
Alafu noti zote lazima ziwe na alama ya mgomba na masale.
 
Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.
Una vigezo vyovyote visivyo na shaka? Au ndo kivile stori za vijiweni?
Kama maelezo yenu yana akili yeyote mbona huku Uswazi kuna wafanyabiashara matajiri na PhD holders etc kutoka hayo makabila mnayoyadharau while in contrast kuna wachaga wengi tu wavuta bange, wapiga debe, vibaka, wazoa taka, wachimba mitaro etc? Au huko kwenu hawapo?
Jibu Tafadhali.
 
Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.
Fanya kazi zote duniani, lakini usiwe mwalimu. Unatia aibu. Umewahi kufika Khazastan?
Mimi nimezaliwa Dar, kwa hiyo mi ni mzaramo?.... ukimchkua mtoto wa miezi miwili wa kichaga ukaenda kumkuza nyamtumbo, halafu umchukue mtoto wa miezi miwili wa nyamtumbo ukamkuzie kibosho. Halafu wakiwa 18yrs niambie yupi ni mkibosho na yupi ni mnyamtumbo.
Nyinyi ndio mnaoturudisha nyuma .... ndio maana hamwezi kuchukua nchi.
 
mm nimezaliwa uchagani na nimekulia uchagani na ninatabia za kichaga (kuchapa kazi)UKWELI NI KWAMBA WACHAGA NI WACHAPAKAZI HODARI SN NA SIJUI KM KN KABILA TZ LINALOWAKUTA, ukimpa mchaga elf 10 km mtaji atauza karanga, akiona biashara hailipi atauza mayai faida atakayopata atafungua mradi mwingne ndaniya mwaka utakuta kazalisha mil. 2 kwa elf 10, HAWA JAMAA NIWACHUMI BY NATURE, URAIS wanaweza ila kila mchaga atataka UWAZIRI WA FEDHA.
 
Hivi Ujinga mtaacha lini? Hivi Mrema siyo Mchagga? Lowassa (FISADI #1) siyo Mchagga?

Ebu ondoa Upuuzi wako hapa
 
Abdulhalim mie siyo mchaga. Lakn nakujb swali lako kuwa hata Ulaya kuna ombaomba. Issue hapa ni majority ndo wanaoongelewa. Hayo makabila unayosema wana PhD utakuta wenye nafuu ni 1/50. Umeelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom