Wachaga wanaweza kuleta maendeleo

dah! Mchagga akishika nchi,makao makuu ya tra lazima yawe moshi.
Alafu lazima mbegge ipewe adhi ya kuwa kinywaji cha asili ya wa-tz.
Pia ndizi ndio kitakuwa chakula asili ya tz.
Alafu noti zote lazima ziwe na alama ya mgomba na masale.

chaaa! Icho nyi kindo kyewesa se?
 
japokuwa ni wezi lakini bado wataleta maendeleo,mbona wakina chenge wasukuma wakiiba hela wanapeleka ulaya???mchaga ataiba na atazitumia hapahapa
 
mkweree anajua kuuza sura.

Wale wamezoea kucheza bao na viduku. Ukileta midundiko au taarab a.k.a mipasho hapo ndo kisa cha mbayuwayu....
Ni wkt wa kuwa na chaguo imara la kuiongoza nchi maana Nyerere alitupiga changa la macho kwa kweli!
 
Ukabila huo, Mbona wahaya nao wana maendeleo, Pia Wanyakyusa, Bila kusahau Wakurya na Wasukuma... Hao pia wanafaa kupewa nchi waiongoze si lazima wachaga, Yeyote yule mzalendo anaweza! Unaweza mpa mchaga kumbe alificha makucha na wala si mzalendo hapo ndo utajuta, Kwanza Jiulize hayo uliyoyaona huko kwao sijui machame, marangu wamevipataje, huenda utakuta ni kupitia ufisadi au ujambazi ... Think outside the box .....

mkuu unazungumzia uwezo, lakini ilishanenwa kitambo hayo makabila kwenye red tusiyape nchi yatuongoze huoni kwamba huo ni ukabila kubagua baadhi ya makabila kutoongoza nchi yao???
 
Kampeni za U-raisi au?
: Reginald Mengi?
: Augustine Mrema?
: Basil Mramba?

"Majority" inahusisha jumla ya watu wangapi? Wachagga=Moshi(Urban+Rural), Rombo, ...

Wakaazi wengi wa KIMARA ni Wachagga::Huko hata mitaa hakuna achilia mbali maji safi na salama!

Wafanyabishara wengi Kariakoo ni Wachagga::Kariakoo utafikiri ni Dumping Site!
 
Mchagga yupo juu ile mbaya,ila watz bado hawajawa na imani nao,tunaweza.
 
Wale wamezoea kucheza bao na viduku. Ukileta midundiko au taarab a.k.a mipasho hapo ndo kisa cha mbayuwayu....
Ni wkt wa kuwa na chaguo imara la kuiongoza nchi maana Nyerere alitupiga changa la macho kwa kweli!

teta nao mkuu...
in red, jamaa alikuwa anaogopa challenge za watu toka makabila hayo ndio akaamua kuleta ubaguzi wa kikabila...
 
mkuu unazungumzia uwezo, lakini ilishanenwa kitambo hayo makabila kwenye red tusiyape nchi yatuongoze huoni kwamba huo ni ukabila kubagua baadhi ya makabila kutoongoza nchi yao???

Hamna kabila linaloongoza nchi, nchi inaongozwa na mtu na wala hukuna uhusiano na kabila lake tuache uzindaki....
 
Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.
Hizi ni myth tu mkuu, na hazija ishia hapo tu
Kuwa wachaga ni wakabila kupindukia, yaani mchaga ndugu yake ni mchaga tu, na ndio maana akiwepo boss sehemu atajaza wenzake tu wengine hamna chenu.
Mchaga yupo tayari kufanya lolote kupata hela, na ndio maana wanaongoza kwa ujambazi na makampuni ya kitapeli
Usioe mwanamke wa kichaga ukifanikiwa anakupoteza arithi mali.
Wasipewe uongozi wa nchi maana watageuza sehemu ya biashara kujipatia mali badala ya kuongoza and the list goes on
list ya myth ipo nyingi tu,
Do you agree with it?
 
Familia yake ina asili ya Uchagga mkubwa.

Mr. Right bado nadhani huko sawa...........

hana asili ya uchaga, kwa nilichopata kutoka kwa mtu anaemfahamu kwa karibu ana asili ya Wameru kama sikosei wa Sing'isi au Mareu..........

i stand to be corrected btw
 
Hizi ni myth tu mkuu, na hazija ishia hapo tu
Kuwa wachaga ni wakabila kupindukia, yaani
mchaga ndugu yake ni mchaga tu, na ndio maana akiwepo boss sehemu atajaza wenzake tu wengine hamna chenu.
Mchaga yupo tayari kufanya lolote kupata hela, na ndio maana wanaongoza kwa ujambazi na makampuni ya kitapeli
Usioe mwanamke wa kichaga ukifanikiwa anakupoteza arithi mali.
Wasipewe uongozi wa nchi maana watageuza sehemu ya biashara kujipatia mali badala ya kuongoza and the list goes on
list ya myth ipo nyingi tu,
Do you agree with it?

Mkuu nikubishie kidogo kwenye red.....mchaga ndugu yake Mbesa msee wangu......huko mbesa oriented na wala huoneshi dalili na juhudi mnapishana njia

Nina jamaa yangu mmoja aliwahi kutemana na rafiki yake mchaga walikuwa wanakaa room moja nilipomuuliza sababu akasema anashangaa ni mchaga wa wapi yuko kama kupe wala haonyeshi juhudi ya kujishughulisha na anataka tu kunyonya wengine...........common denominator yao ni mbesa tu msee wangu
 
Mkuu nikubushie kidogo kwenye red.....mchaga ndugu yake Mbesa msee wangu......huko mbesa oriented na wala huoneshi dalili na juhudi mnapishana njia

Nina jamaa yangu mmoja aliwahi kutemana na rafiki yake mchaga walikuwa wanakaa room moja nilipomuuliza sababu akasema anashangaa ni mchaga wa wapi yuko kama kupe wala haonyeshi juhudi ya kujishughulisha na anataka tu kunyonya wengine...........common denominator yao ni mbesa tu msee wangu
nilicho maanisha mkuu ni kama alichofanya Mramba pale TRA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom