Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,904
44,036
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.

Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.

Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.

Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.

Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?

Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?

Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.

Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?

Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?

CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.

Jamaa kareem
 
Usijali tutakuna nao 2025 tunaandaa takrima zao, watapozwa tu machungu haya usiwe na wasi mtoja hoja - tupo pamoja nao hatuwezi kuwaacha.
 
Kweli unaamini tuna Wabunge? Au Genge la wahuni wa CCM? Waliwekwa pale kwa maana Fulani ili mpira uongezwe muda kutoka dakika 90 za kawaida hadi ikiwezekana Dakika 450./ila Mungu fundi nyie....
Kwakweli imenishangaza sana. Ukimya huu unaonekana wabunge hawana maana yoyote au wananchi ndio hatuna maana yoyote
 
Usijali tutakuna nao 2025 tunaandaa takrima zao, watapozwa tu machungu haya usiwe na wasi mtoja hoja - tupo pamoja nao hatuwezi kuwaacha.
Kwahiyo sisi wananchi ni watu wakununuliwa tu kwa makofia na tisheti tu?
 
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.

Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.

Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.

Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.

Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?

Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?

Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.

Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?

Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?

CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.

Jamaa kareem

Kama wabunge walishindwa kutetea tozo, fao la kujitoa, katiba mpya na mengine mengi. Lakini wakatetea posho zao, wasikatwe kodi, mishahara yao. Kwanini unaona wewe wanatakiwa hata kufikiria tu kutetea Machinga?
 
Ni kwa sababu machinga wanawakilisha kundi kubwa la watanzania. Hata kama we ni Mbunge wa Nkasi bado kuna wamachinga Dar wa kutoka Nkasi
 
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.

Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.

Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.

Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.

Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?

Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?

Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.

Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?

Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?

CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.

Jamaa kareem
Tazania kuna wabunge? wengi wanajua hawajachaguliwa na wananchi,, ndio maana unaona kimyaaa... na wengi wao wanaomba noti ziwekwe sura ya mama samia ili tu kumsifia wapewe vyeo
 
Kwani Mzee Adadi Rajabu ana nini "cha haswa" na hata iwe haiwezekani kabisa kushindwa na mwanaFA ?

Swali lako ndio has limebeba haiba ya Bunge letu! Kama inabidi Rais kurudi kuchagua mawaziri waliowahi kufutiwa utenguzi. Kama Rais inabidi ateue kwanza wabunge na kisha kuwapa uwaziri. Inabidi mbunge wa upinzani ajiuzulu, ajiunge na CCM, ateuliwe (sio apite kwenye kura za maoni), kisha ashinde uchaguzi na kisha kuteuliwa kuwa waziri!!

Bunge letu linajali idadi badala ya ubora wa wabunge! Lakini mbaya zaidi, Bunge letu sio mhimili unaojitegemea. Kuna mhimili ulio na mizizi mirefu, ndio huamua mambo haya!

Jambo hili ni la mzizi mkuu na imekuwa kawaida kwa mzizi huo kuamua mambo. Unadhani zile 20,000 za kitambulisho kisichokuwa na taarifa za mmiliki kililetwa na wabunge?? Waliohoji swala hilo walikuwa ni wapinzani, hakuna CCM aliyeonesha hata dukuduku bali walipongeza kuwa ni “maono”. Mzizi huo tena umeamua swala la machinga - hakuna atayelisema bali likikamilika atapongezwa mkuu kwa “maono” ya kupanga. Kisha Bunge litafanya azimio la kumpongeza rasmi!!

Bongo nyoso!!
 
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.

Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.

Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.

Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.

Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?

Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?

Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.

Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?

Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?

CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.

Jamaa kareem
Yupo Msukuma Kasheku
 
Back
Top Bottom