The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Let's wait and see Judgement day muda si mrefu.
ni kweli mkuu unayosema kwamba matatizo ya wizara hii yamekomaa, ila navyoona mimi tuanze ha huyu huyu ngeleja kwa sababu kaongoza wizara hii miaka zaidi ya 4, atatufaa kusaidia upelelezi.
Hili pia litawajengea heshima wabunge wa CCM, siyo kusema YES kwa kila kitu just because its comming from Serikali ya CCM kiasi hadi jamii inawaona wabunge wa CCM ni kama ma YES YES Mzungu kala fenesi.
I support this move - Bravo wabunge wa CCM kwa leo naona hata umeme ukikatika sintatukana tena.
Kesha sema swala la umeme litakuwa historia na kauli yake ni hiyo hiyo period,Sasa hii itasaidiaje kurudisha umeme?cha msingi waziri atoe tamko ni lini na kivipi umeme utakuwa wa kuaminika.kama hawezi aachie ngazi!!
Ngereja is out