Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

Status
Not open for further replies.
Mtu unashindwa kutekeleza wajibu wako badala yake unatafuta njia za ujanjaujanja tu za kufanya lobbying.

Gharama hiyo ya kufanya lobbying mbona ni kubwa kuliko wao kutekeleza wajibu wao?

 
Hongera wabunge wa CCM lazima wasaliti tuwajue! nna uhakika 100% matatizo ya umeme ni usaliti tu hakuna zaidi.
FF,

Wasiwasi wangu ni mmoja tu: Ikifika saa ya kupitisha bajeti wataonekana wachungu kweli lakini mwishoni watasema 'Naunga mkono hoja mia kwa mia'.

Let's wait and see, judgement day ni leo
 
Angekuwa na ubavu huo basi angeshafanya hivyo siku nyingi sana kwa jinsi anavyosakamwa na Watanzania kuhusu hali ya umeme nchini.

I am going to defend Ngeleja till the end. All of his predecessors knew about the problem and did nothing to fix it once and for all. Now all of a sudden Ngeleja is the villain. If his predecessors couldn't do a damn thing why then they are not getting their share of the blame? In my view there is plenty of blame to go around and the buck stops at the very top.

If Ngeleja has to go so does his boss who once headed that ministry himself and did jack shit to fix the problem. These problems didn't just start when Ngeleja became in charge of the ministry.
 
Kwa wakati huu tunapohubisi utawala wa sheria, sioni kwanini Ngeleja asiwajibike ndipo huyo katibu wake mkuu afuate.

1. Yeye kama kiongozi wa kisiasa, ndiye anayewajibika kuiwakilisha wizara katika baraza la mawaziri na bunge. Ndiye anayewakilisha bujeti na kuitetea kuhakikisha kuwa inapita. Kwa maana hiyo, ndiye anayewajibika moja kwa moja kumtaka katibu wake kukusanya mlungula ili aweze kuto hongo, na kwa hili anatakiwa kwenda na maji

2. Mika karibia mitatu ameshindwa kuonyesha ubunifu au umakini wa kushughulikia matatizo yanayokaikabili wizara yake. Kwa hili anaweza kujiuzulu kuonyesha kuwa ameshindwa, au ajiuzulu kwamba hakupata ushirikiano wa kutosha kutimiza yale aliyopanga kutekeleza kama waziri.

Kwa mtizamo wangu, amekawia!
 
Ngoja niulize swali wanaJF, kuna wizara yeyote inayofanya vizuri kati ya wizara zilizopo? Hii wizara ya Ngeleja inatugusa sehemu nyeti ndo maana tunaona kama ndo yenye matatizo lakini siyo hii tu jaribuni kupima wizara zingine mtaona ni yale yale hakuna la maana.
 
Off cause hawa makaibu wakuu wa wizara ni kikwazo sana katika utendaji wa serikali pengine hata CCM kushindwa kwao kunachangia kwa asilimia kubwa na hao believe me nina evidence za kutosha.
 
Hongera wabunge wa CCM lazima wasaliti tuwajue! nna uhakika 100% matatizo ya umeme ni usaliti tu hakuna zaidi.

Hii hongera yako baadae sijui utaficha wapi uso wako watakapofanya kinyume na matarajio yako.Latest news ni kwamba PM anahaha kwa kila namna kuokoa jahazi
 
Umeme wa mgao hadi kwenye jengo la wizara ya nishati na madini kha! kweli mitanzania bado
 
CCM wametumia akili ili kuwapumbaza CHADEMA waone kuwa wako 'siriaz'. CHADEMA walivyo maboya, badala ya kuongelea ishu wanakaa kujadili kujiuzulu kwa Ngeleja.
 
Maxence Melo

Endelea kutujuza lakini hii kwa CCM haiwezekani hawako kwa maslahi ya taifa letu.
Comment yangu ya awali niligusia hili, ni dakika kama 10 zimesalia kabla Bunge kuanza.

I will post live feeds.

Lakini, kwenye hili la lobbying haihitaji uwe CDM kujua ni kitu kibaya sana kutumia costs kubwa kiasi hicho tena kwa pesa zilezile za wananchi
 
CCM MPs force government to withdraw Energy Ministry budget estimates. Govt to work on Energy Committee proposal...

January Makamba on twitter
 
waarabu wa pemba hao ngoja tu hasira zifike kikomo mabom ya machozi na risasi za moto zitageuka maji watanzania wenye nia watakapoingia barabarani.
 
Poor Ngeleja. Ningekuwa mimi ndo yeye ningeachia tu hiyo wizara halafu tuone huyo atakayekuja atafanya nini. Manake mimi binafsi sioni wapi Ngeleja alipokosea.
Wewe kichwa chako kibovu sana! Kama Ngeleja hajakosea kwa nini nchi iko gizani? Kwa nini mchanga unaotoka migodini haukaguliwi? Kwa nini Pan African Energy wamefanikiwa kuiba 100bn/-? Kwa nini, kwa nini...........? Yeye alifikiri anaenda Wizarani kutuimbia mashairi ya Megawati na kina cha maji cha Bwawa la Mtera kila siku?
 
Kazi ipo leo,nilimuangalia mchapakazi kigoma malima nikamuonea huruma leo,sijui watatoka vipi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom