Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

That is good. Haiwezekani Giza ya Kiwete Rais wa Tanzania ikae pamoja na Nuru ya Chadema. Sheikh Yahaya hakumtaadharisha mapema kuwa Chadema watatoka ukumbini?

Mwizi ni lazima aumbuke tu.... ataendelea kuumbuka mpaka miaka mitano iishe na baada ya hapo ni haki kufuata mkondo wake .....
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

public ipo iko against iyo? Uko bongo kweli?
 
Good move Chadema.
All of a sudden nimeanza kuitamani kadi ya Chadema.
Inawezekana kabisa leo ndio inawekwa ile cornerstone ya mabadiliko ya kweli...
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

Pole sana usiwe kama JUHA
 
Jamaa wamenyanyuka na kuchapa lapa. Hilo nimelipenda kwani ni ishara kuwa wamepinga kauli za spika za utangulizi na yale aliyokuwa anakuja kuzungumza baba jambazi wa kura na mali za umma.
 
Dubwana usiloweza kupigana nalo unatakiwa japo ulinunie. Katiba yetu imetunyima nafasi ya kulalamika pale CCM wanapopora urais. Naona kikao kimegeuka cha kamati ya wabunge wa CCM na jamaa anamshukuru Mwamunyange kwa kazi nzuri aliyomfanyia. Heko wabunge makini wa CHADEMA.
 
Wajisikie tu wakitaka watoke hata kwenye nchi hii watafute kwa kukaa
Wewe ni mmoja wa wachache mnaofaidi raslimali za nchi hii na kutuacha maskini sisi wengi. Siku zenu zinahesabika mtakapo hama kwa hiari yenu au kufia gerezani.
 
Political Immaturity.
They have looked evil in the eye and mocked it. Rigging election is a treason offense tolerating it is participating in it which is also a criminal offense. Thank you Chadema for showing courage and telling Kikwete you are an impostor and a cheat.
 
Political Immaturity.
Ni machurity ya hali ya juu...Safi sana CHADEMA! Wamezidi kuchakachua ndio dawa pekee next time wataogopa kuchakachua kwani wataona inaleta dosari kubwa kitaifa. Message sent... na doa limeshaingia hata wafanye nini hapo.
 
Waondoke na bungen kama vipi tutawaheshimu zaidi awakumbuki jamaa zao cuf walichapa mwendo
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.
Ujinga unao wewe, who is you mpk unamuita Lisu,Mbowe,Mnyika,Zitto, etc, wajinga? Wamechaguliwa na wasomi watupu sasa sie wasomi tunachagua wajinga wenzetu au?Tena naomba utukome maana they are doing that on behalf of Tanzanians and not on behalf of Mafisadi. That is what we expected from them and make yourself ready for the next difficult situations to that mama(spika).
 
wabunge wa chadema wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia chadema. The publc is against them and chadema. Tanzania bila chadema inawezekana sana tena sana mara elfu.

nahisi wewe ndio umechelewa kweli kuliko hao wabunge wa chadema. Wa wapi weweweeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom