Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

wabunge wa chadema wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia chadema. The publc is against them and chadema. Tanzania bila chadema inawezekana sana tena sana mara elfu.

we! We! Acha kabisa mjinga mwenyewe, tanzania bila ccm inawezekana!!
 
chadema limbukeni wa siasa na mawaza. Kuna wabunge hawana hata diwani wa chama chao kwa hili unategemea nini. They are against their will to tanzanians. Poor chadema. Kususia hutokea pale tu kama mna nguvu ya wabunge wengi watakao athiri kupishwa kwa sheria yeyote. Kwa sasa ni kupoteza mda. Slaa na marando wataharibu chadema.

poor you
 
Big up CHADEMA, Mi naamini nyie ni watu wa mbelembele huko bahati mbaya mlizaliwa kwenye nchi isiyojali demokrasia
 
binafsi nimefurahi sana tena sana tu, mungu ibariki CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kama wao kweli wanajua kususa wasuse Posho bungeni tuwaone kama kweli wamepania.

Posho ni kodi zetu na ni haki yao kuchukua, na si JK anawalipa na wana haki ya kuchukua 100%, ur old folk, pointless. think...!!!!! think...!!!!!! CHADEMA excellent they prove HATUDANGANYIKI
 
wabunge wa chadema kwa pamoja wametoka nje kususia hotuba ya Rais sasa hivi.


Chanzo: star tv


Kwa sasa CHADEMA wamejifungia katika ukumbi wao wa Kambi ya upinzani wakiwa katika Mkutano wao wa faragha. Na wakati huo huo,walipotoka tu wenzao wa CUF wakainuka na kwenda kukaa katka zle siti zilzoachwa waz na CHADEMA!!!
 
wabunge wote wa chadema wametoka nje ya ukumbi wa bunge, licha ya spika anne makinda kupiga mkwara mzito.jk amesimama tu na wabunge wote wametoka.
hotuba ya jk inaendelea.
 
wabunge wa chadema kwa pamoja wametoka nje kususia hotuba ya Rais sasa hivi.


Chanzo: star tv

Mie ninacho jiuliza, inawasaidia au wanapoteza muda wao ?. Rais akiisha kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ndio basi tena. Mbaya zaidi wabunge wa CCM ndio wengi zaidi. Kwa mujibu wa bunge tulilo nalo CHADEMA wana asilimia 14% tu ya wabunge wote. Kwa mazingira haya nguvu hawana , kwani kwa situation iliyotokea zanzibar wao walikuwa wamepishana kidogo sana kwenye baraza la wawakilishi. Na isitoshe wao wameapa bungeni kuitii katiba, na sasa katiba ndio iliyomweka madarakani Rais aliyekuwepo, sasa hapo si kuwadanganya wananchi bure . Na isitoshe Mbowe mwenyewe hivi sasa kama kiongozi wa upinzani hivi sasa anatembelea gari ya serikali STK 1748, sasa na gari si angesema hataki kama kweli yupo kwa ajili ya wananchi?, ha ha ha kweli wajinga wali wao, THINKTWICE.
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.


We bana hujui kutofautisha kati ya KIFO na USINGIZI. Hiyo ndo safiii. Ngoja akome, nani alimwambia achakachue matokeo.
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

1954
Senior Member

Join Date
Tue Nov 2006
Posts
89
Thanks
2
Thanked 10 Times in 10 PostsRep Power
25
 
Hii ni aibu kwa Kiwete kwa Speech yake kususiwa na CHADEMA.
Hii ni message nzito inapelekwa kwa Kikwete,CCM na Serikali yake kuwa hawakuingia madarakani KIHALALI.Hilo wanalijua.

CUF walifanya hivo 1995 na 2000. Lakini leo kwasababu wamefunga ndoa na CCM wanalaumu CHADEMA kuwa ni kosa kufanya hivo. Huo ni unafiki wa hali ya juu. Sasa hivi UPINZANI WA KWELI UKO CHADEMA. CUF,TLP,NCCR ni mapandikizi ya CCM tu!
 
CHADEMA nawapa 5, walioshinda kwa udhalimu lazma wakiri na watubu hiyo dhambi kwanza. Hakika dhambi ya kuchakachua kura ni mbaya zaidi ya ufisadi
 
Ujinga unao wewe, who is you mpk unamuita Lisu,Mbowe,Mnyika,Zitto, etc, wajinga? Wamechaguliwa na wasomi watupu sasa sie wasomi tunachagua wajinga wenzetu au?Tena naomba utukome maana they are doing that on behalf of Tanzanians and not on behalf of Mafisadi. That is what we expected from them and make yourself ready for the next difficult situations to that mama(spika)

Wanaweza kuwa wasomi lakini nakuthibitishia usomi siyo kila kitu. Unaweza ukawa msomi na ukakosa busara na hekima. Wako wengi wa aina hii. Kama hawamtaki JK waondoke na nchi hii. Wasiendelee kukaa huko Dodoma, na wala wasipokee posho za ubunge ili tujue kuwa hao siyo wanafiki.


Mimi siyo mbashiri lakini nawathibitishieni huo ndio mwanzo wa mwisho wa CHADEMA. In three years time hakutakuwa na CHADEMA. Nyie ngojeni muone na mtaikumba thread hii.
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

Mliahidiwa shubiri huo ni mwanzo tu. Ujumbe umeanza kufika
 
1954 ni msaliti. Hivi wewe unataka uwe kama CUF wanaoibiwa kura aafu wakipewa kitu kidogo tu wanaachia. CHADEMA komaeni.
 
Back
Top Bottom